Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa
Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia ...
Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia ...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2022, deni la Serikali lilikuwa Sh69.44 trilioni ikilinganishwa ...
Tanzania imetia saini hati za makubaliano (MoU) 36 katika mkutano wa biashara na uwekezaji uliofanyika Dubai, Februari 26, 2022. Hati ...
Benki ya NMB imetenga kiasi cha Shilingi bilioni 200 kwa ajili ya kuwapa mikopo wamachinga. Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi ...
Serikali imesema ipo mbioni kuanzisha chaneli ya Kilimo kupitia Television ya Taifa (TBC) ambayo itatoa taarifa za mazao, elimu ya ...
Katika Maonesho ya Utalii ya FITUR yanayoendelea nchini Hispania, vivutio vya utalii vinavyopatikana nchini vimewavutia washiriki wengi. Kaimu Meneja wa ...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefungua kongamano la biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Uingereza na kusema Rais Samia Suluh ...
Bima ya afya ni nini? Bima ya afya ni mfumo wa kujiunga kwa hiari ama kwa lazima unaomhakikishia mwanachama kugharamiwa ...
Kama ulikuwa hufahamu kuwa maganda yatokanayo na zao la korosho yanatengeneza mafuta, basi sasa ujue. Lydia Amor ni mjasiriamali katika ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewaagiza mawaziri husika kutafuta suluhisho juu ya tozo mpya za ya simu iliyoanza kutumika ...
Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...
Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23...
Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...
Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...