Home BENKI 40 wavuta mkwanja Droo ya 6 NMB MastaBATA

40 wavuta mkwanja Droo ya 6 NMB MastaBATA

0 comment 104 views

Droo ya sita ya Kampeni ya NMB MastaBATA, inayoendeshwa na Benki ya NMB, imefanyika jijini Dar es Salaam, ambako washindi 40 wamepatikana na kufanya idadi yao kufikia 240 tangu kuanza kwake Novemba 2020.

NMB MastaBATA, ni Kampeni ya miezi mitatu iliyozinduliwa Novemba 24, 2020 na itadumu hadi Februari mwaka huu, ambako zawadi mbalimbali zinatolewa zikiwamo pesa, simu janja, jokofu, runinga na safari ya kwenda kupumzika Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro.

Washindi wamejinyakulia Sh. 100,000 kila mmoja ambao kigezo cha ushiriki ni matumizi ya Kadi za NMB Mastercard na Masterpass QR.

About Us

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905.

Editors' Picks

Newsletter