Benki ya Stanbic imeandaa semina kuhusiana na mifuko ya pensheni jijini Dodoma. Semina hiyo ilihudhuriwa na wateja wa Stanbic Bank pamoja na wadau kutoka Benki kuu ya Tanzania (BOT) na Mamlaka ya mifuko ya hifadhi ya jamii (SSRA).
Semina hiyo ililenga kuwaelimisha wateja wa benki hiyo kuhusu maswala mbalimbali ya fedha, mikopo na dhamana. Pia semina ililenga kuwajumuisha wateja kwa kubadilishana mawazo na kutengeneza mtandao wa kibiashara.

Stanbic Bank Head Investor Services, Andrew Mgunda speaking to the bank’s customers during a Pensions Fund workshop held in Dodoma recently. Graced by the regulators from BoT and Social Security Regulatory Authority (SSRA), the workshop provided the customers with an understanding of Debt Market, Transactional banking with a focus on Custody Services and an opportunity to network and exchange ideas with industry peers and experts.