Benki ya Stanbic Tanzania imetoa mafunzo kwa ma Meneja Rasilimali Watu kwenye semina ya mafunzo ya jinsi ya kutunza fedha na kujiwezesha kiuchumi.
Semina hiyo iliendeshwa na Mtaalum wa masuala ya kiuchumi, Paulsen Mrina.

Mtaalamu wa masuala ya Kiuchumi, Paulsen Mrina (kulia shati la blue bahari) akiwaelezea Meneja Rasilimali Watu kutoka kampuni mbali mbali jinsi ya kutunza fedha, katika semina ya kuwawezesha kiuchumi iliyoandaliwa na Benki ya Stanbic Tanzania, Coral Beach Hotel, Dar es Salaam.