Tanzania imetajwa kuwa ni nchi yenye nusu ya simba wote Duniani. Rais wa Jumuiya ya Uwindaji ya Kimataifa, …
Pesatu Reporter
Thamani ya mifuko ya Kampuni ya uwekezaji ya UTT AMIS imeongezeka kutoka Shilingi trilioni 1.5354 mwezi June, 2023 hadi kufikia Shilingi trilioni 2.2382 Juni 2024. Hili ni ongezeko la Shilingi bilioni 702.8 sawa na …
-
-
Rais wa Tanzania Samia Suhulu Hassan amesema awamu ya pili ya filamu ya kuonesha utalii wa Tanzania inakuja. …
-
Wawekezaji wametajwa kuwa moja ya wadau muhimu kwa ustawi bora wa uchumi wa Tanzania na kufungua fursa za …
-
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameahidi ujenzi wa kiwanda cha kuchakata parachichi katika mkoa wa Iringa ili …
-
Serikali kupitia Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara imetaka ubunifu wa Watanzania ulindwe na kuendelezwa. Naibu Waziri wa …
-
Sekta ya utalii inatarajiwa kuchangia Pato la Taifa kwa 19.5% ifikakapo mwaka 2025/2026. Sekta hiyo inayokuwa kwa kasi …
-
Wakulima nchini Tanzania wametakiwa kutumia fursa za mitandao katika kujikwamua kiuchumi ikiwamo huduma za masoko ya mazao wanayozalisha. …
-
Sekta ya kilimo cha mboga mboga na matunda ni moja ya sekta zinazokua kwa haraka kwa mwaka. Sekta …
-
Benki ya CRDB imeingia makubaliano ya mkopo wa jumla ya Dola za Marekani milioni 60 (Sh138 bilioni) na …
-
Serikali ya Tanzania imezuia uingizaji wa vifaranga vya kuku kutoka nje ya nchi ifikapo July 30, 2022. Naibu …