Tanzania inaelekea katika uchumi wa viwanda, vijana wanayo nafasi ya kutengeneza bidhaa na kuanzisha viwanda vidogo.
Patricia Richard
Wanawake ni kundi lenye mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa lolote. Mara nyingi kundi limekuwa likiachwa nyuma, suala ambalo limepelekea mchango wao wa moja kwa moja usionekane. Ili kubadili mtazamo huu, jamii inapaswa kubadilika …
-
-
Kiwanda hicho kimeongeza uzalishaji wa sukari kutoka tani 36,000 hadi tani 110,000 ili kutatua changamoto ya upungufu wa …
-
“Hatuwezi kuendelea kuibiwa dhahabu, lazima tutunze dhahabu yetu”
-
Lengo la kufikia uchumi wa viwanda linawezekana kwani umeme ni wa uhakika.
-
Mamlaka hiyo imefanikiwa kukusanya Sh. 7.9 trilioni kwa kipindi cha miezi sita ya mwaka wa fedha 2018/19.
-
“Tumeweka mazingira rafiki ya wawekezaji kuwekeza katika sekta ya sukari”
-
Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. …
-
Utekelezaji wa zoezi hilo umeanza na Bodi ya Nafaka na Mazao mchanganyiko itaingia mikataba ya ubanguaji.
-
Na: Beatrice Lyimo-MAELEZO, Dodoma Wastani wa Mfumuko wa Bei wa Taifa kutoka Januari hadi Desemba Mwaka 2018 umepungua …
-
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango amesema deni la taifa kwa mwaka 2018 limefikia Sh. 49.37 …