• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Wednesday, February 8, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

TPC yaongeza uzalishaji sukari

Patricia Richard by Patricia Richard
January 10, 2019
in UZALISHAJI
0
TPC yaongeza uzalishaji sukari

Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Joseph Kakunda (kulia) na Naibu Waziri wa Kilimo Omari Mgumba wakiwa ameshika sukari inayozalishwa katika kiwanda cha TPC kufuatia ziara waliyoifanya katika kiwanda hicho jana.

Share on FacebookShare on Twitter

Afisa Mtendaji Mkuu wa Utawala kiwanda cha sukari TPC Jaffari Ally amesema kiwanda hicho kimeongeza uzalishaji wa sukari kutoka tani 36,000 hadi tani 110,000 ili kutatua changamoto ya upungufu wa sukari ya majumbani nchini ambayo ni tani 100,005. Afisa huyo ameeleza hayo katika ziara ya Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba pamoja na Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Joseph Kakunda kiwandani hapo na kuongeza kuwa, bado wanaendelea na upanuzi wa mashamba na wanatarajia kuzalisha hadi tani 120,000 .

Katika ziara hiyo, Jaffari ameipongeza serikali kwa kuziba mianya yote ya biashara magendo ya sukari ambapo sukari zilizo chini ya viwango zilikuwa zikiingizwa nchini na kushindanishwa katika masoko ya ndani hivyo kuathiri biashara ya viwanda vya ndani.

ADVERTISEMENT

“Wazalishaji wa sukari tunapenda kuipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kuzibiti mianya ya uingizwaji holela wa sukari ,miaka ya nyuma soko lilichafuliwa na sukari iliyokuwa ikiingizwa nchini isiyokuwa na viwango na iliingizwa kwa njia ya magendo bila kulipiwa kodi wala ushuru ,sukari ambayo ilikuwa ikiathiri afya za watanzania tunaishukuru serikali kwa kuziba mianya”. Amesema Jaffari.

Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Kilimo Omari Mghumba ametoa wito kwa wawekezaji katika kiwanda hicho kupanua wigo wa kilimo cha miwa ili kuongeza uzalishaji wa sukari.

Tags: Biashara ya magendokilimomiwasukariTPC
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post
AMCF, FCS zatoa mafunzo ujasiriamali

Vijana wajasiriamali washauriwa kuongeza ubunifu

Discussion about this post

Habari Mpya

Bata wawili hadi kumiliki bata 1,000

February 8, 2023

Hewa ukaa, eneo jipya la uwekezaji Tanzania

February 7, 2023

Halmashauri zahamasishwa kutenga maeneo kwa ajili ya vijana

February 7, 2023
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji.

Kijaji: changamkieni fursa za biashara Afrika

February 6, 2023
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi

Rais Mwinyi aonya wafanyabiashara

February 6, 2023
Baadhi ya vijana wakiwa kwenye Kongamano la Vijana wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati lijulikanalo kama ‘University Ladies and Gentlemen Conference.

Vijana wahamasishwa kuchangamkia fursa za kilimo

January 31, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Bata wawili hadi kumiliki bata 1,000

by Pesatu Reporter
February 8, 2023
0

Sio lazima uingie darasani na upate elimu katika mfumo rasmi ndipo uweze kufanikiwa katika maisha. Ndivyo wanavyoweza kusema kikundi cha...

Hewa ukaa, eneo jipya la uwekezaji Tanzania

by Pesatu Reporter
February 7, 2023
0

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Pindi Chana amewakaribisha wawekezaji kufanya biashara ya hewa ukaa na Serikali ya Tanzania. Dkt....

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In