Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kwa kiasi kikubwa kuanza kufanya kazi kwa viwanda vingi hapa nchini …
Patricia Richard
Wanawake ni kundi lenye mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa lolote. Mara nyingi kundi limekuwa likiachwa nyuma, suala ambalo limepelekea mchango wao wa moja kwa moja usionekane. Ili kubadili mtazamo huu, jamii inapaswa kubadilika …
-
-
Waziri wa Nishati Dk. Medard Kalemani amefika katika wilaya za Handeni na Lushoto mkoani Tanga ili kukagua shughuli …
-
Waziri wa Kilimo, Dk. Charles Tizeba “amepiga stop” halmashauri zote nchini kutoa vibali kwa wafanyabiashara vya kununua kahawa …
-
Na Ismail Ngayonga- MAELEZO SERIKALI inatekeleza Mpango wa Pili wa Maendeleo ya Taifa wa miaka mitano (2016/17- 2020/21) …
-
Uthubutu wao wa kujaribu vitu tofauti Tofauti na makundi mengine, vijana wamekuwa mstari wa mbele kujaribu biashara au …
-
Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu ametoa wito kwa wananchi kuuza sehemu ya mazao waliyovuna ili waweze kulipia …
-
MIUNDOMBINU
TIC yasema kukamilika kwa uwanja wa ndege jengo la tatu kutavutia wawekezaji wengi zaidi
Na Grace Semfuko-MAELEZO. Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), kinatambua kuwa miezi michache ijayo serikali kwa kukamilisha ujenzi wa …
-
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema mradi wa kuzalisha umeme katika maporomoko ya Mto Rufiji, Stiegler’s Gorge …
-
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali imetoa mikopo yenye thamani ya Sh. bilioni 56.45 kwa ajili ya miradi …
-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameeleza kuhusu mpango wa kuanzisha kitengo cha uwekezaji (One …