Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo amewaasa wakulima kujiunga katika vikundi ili kuwarahisishia ukusanyaji wa mahindi mengi …
Patricia Richard
Wanawake ni kundi lenye mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa lolote. Mara nyingi kundi limekuwa likiachwa nyuma, suala ambalo limepelekea mchango wao wa moja kwa moja usionekane. Ili kubadili mtazamo huu, jamii inapaswa kubadilika …
-
-
Kufuatia Sheria mpya ya madini ya mwaka 2017 yenye kuzitaka kampuni za madini kuandaa mpango wa matumizi ya …
-
Vikundi vya wanawake na vijana katika wilaya ya Ngara mkoani Kagera vimefanikiwa kunufaika na mikopo ya jumla ya …
-
Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Adam Mgoyi amesema wakulima kumi na saba wa miwa kutoka wilaya ya Kilosa …
-
Serikali wilayani Hai mkoani Kilimanjaro imeombwa kuchukua hatua madhubuti kuokoa soko la mboga za majani kwa kuwapatia wakulima …
-
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, Dk. Mzee Suleiman Mndewa amesema sekta ya …
-
Mwenyekiti wa kikao cha Kamati ya Bunge, Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) Janeth Mbene amesema Shirika la …
-
Ni ukweli usiopingika kuwa asilimia kubwa ya chakula kinachozalishwa nchini kinatoka vijijini. Mkulima huyu anaamini kilimo ndio ajira …
-
Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi amesema endapo mifumo kandamizi inayowaacha nyuma wanawake itaendelea kuwepo, hakuna …
-
Kampuni ya Sigara nchini Tanzania (TCC) imepongezwa kwa utekelezaji wa malengo ya ubinafsishaji na pamoja na kuunga mkono …