• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Monday, January 30, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Wakulima waaswa kujiunga kwenye vikundi

Patricia Richard by Patricia Richard
August 27, 2018
in KILIMO BIASHARA
0
Share on FacebookShare on Twitter

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo amewaasa wakulima kujiunga katika vikundi ili kuwarahisishia ukusanyaji wa mahindi mengi na kuiuzia serikali kupitia Wakala wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) mkoani humo.

Akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Memya wilayani Sumbawanga, Rukwa katika ziara ya siku mbili ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo wilayani humo, amesema haridhishwi na mfumo wa ununuaji wa mazao mkoani humo kupitia walanguzi, na hivyo kuwataka wananchi wajiunge na vikundi ili serikali iweze kununua mazao yao kwa urahisi.

Soma Pia Kero hizi zitatuliwe kuinua kilimo

Wangabo alisema kuwa ukifika wakati wa ununuzi wa mahindi, wanaoiuzia serikali ni watu binafsi hasa wafanya biashara ambao hulangua mahindi hayo kwa bei ndogo kwa wakulima na kuiuzia serikali kwa bei kubwa hivyo kuwanyonya wakulima ambao wamekuwa wakitumia gharama kubwa katika shughuli za kilimo.

ADVERTISEMENT

Akitoa maagizo kwa wakala wa Hifadhi ya Chakula (NFRA)  na walanguzi mkoani humo Wangabo amewataka walanguzi kuacha mara moja kununua mahindi kwa wakulima na badala yake akaagiza Wakala wa Hifadhi na Chakula kufanya kazi hiyo ili kutokomeza ukandamizaji unaofanywa na walanguzi hao.

Soma Pia Mafunzo yatolewa kuwanoa wadau wa kilimo

Nataka niagize NFRA kuwa ni marufuku katika mkoa wangu kununua mahindi ya walanguzi na kuwaacha wakulima wakikosa soko kwani hawa ni vigumu kutafuta soko wao wenyewe, lakini walanguzi wananweza kwenda kuuza  hata katika masoko ya nje ya mkoa” Alisema.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Sumbawanga, John Msemakweli amesema kuwa serikali imekuwa ikichukua jitihada mbalimbali ili kuboresha miradi ya maendeleo ikiwa ni pamoja na ujenzi wa shule za msingi na sekondari licha ya kupata mwitikio mdogo toka kwa wananchi.

 

Tags: biasharaJoachim WangabokilimoRukwaSumbawangawalanguzi
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post

Tarime wapewa elimu ya ujasiriamali

Discussion about this post

Habari Mpya

Mohammed Dewji (Mo Dewji). Picha|Mtandao

Watieni nguvu wawekezaji: Makalla

January 30, 2023

Vijana Tanzania kupatiwa eka 10 kulima

January 30, 2023

Poland kuisaidia Tanzania kuweka mifumo ya kodi kidigitali

January 26, 2023

Kamati ya bunge yahimiza uwekezaji maeneo ya hifadhi

January 21, 2023

Serikali kuanzisha mnada wa chai

January 20, 2023

Tumieni bandari ya Dar es Salaam: Makalla

January 19, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Mohammed Dewji (Mo Dewji). Picha|Mtandao

Watieni nguvu wawekezaji: Makalla

by Pesatu Reporter
January 30, 2023
0

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amewasihi mashabiki wa Simba wamtie nguvu Mwekezaji Mohammed Dewji (Mo Dewji) kwa...

Vijana Tanzania kupatiwa eka 10 kulima

by Pesatu Reporter
January 30, 2023
0

Rais Samia amesema Serikali imetenga hadi eka 10 kwa kila kijana mwenye sifa za kufanya kilimo nchini Tanzania ili kuiwezesha...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In