Suala la ukosefu wa ajira si kwa Afrika Mashariki tu bali ni suala ambalo limeikumba dunia nzima hali …
Patricia Richard
Wanawake ni kundi lenye mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa lolote. Mara nyingi kundi limekuwa likiachwa nyuma, suala ambalo limepelekea mchango wao wa moja kwa moja usionekane. Ili kubadili mtazamo huu, jamii inapaswa kubadilika …
-
-
Hivi karibuni tumeshuhudia serikali ya Tanzania ikionyesha uthubutu wake katika kujenga usawa miongoni mwa wana jamii kwa kuwapa …
-
Kasulu, Kigoma Alliance One yazindua mpango wa upandaji miti Kasulu “Ustahimilivu katika urejeshaji wa misitu na maendeleo katika …
-
Maonyesho ya 42 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) maarufu kama Sabasaba, yanaanza rasmi leo …
-
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa anatarajia kuwasili nchini siku ya leo, ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu …
-
Imekuwa ni desturi yetu hapa nchini kwa watu kutumia gharama kubwa katika sherehe mbalimbali. Wahusika hutafuta huku na …
-
Waziri wa Fedha na Mipango Dk.Philip Mpango amesema serikali imetoa zabuni ya mradi wa stempu za kielektroniki (ETS) …
-
Benki inayokua kwa kasi zaidi nchini Tanzania, FINCA Microfinance imetangaza uzinduzi wa programu ya miezi mitatu pamoja na …
-
Tume ya Ushindani Tanzania (FCC) imetangaza kuwa kampuni ya Vodacom Group ya Afrika Kusini inatarajia kununua hisa zote …
-
Hapa Tanzania, asilimia kubwa ya watu hawana ufahamu au uelewa kuhusu masuala ya mirathi na kuandika wosia kabla …