This Day
Nigeria imetoka kwenye nchi kumi bora zinazopendekezwa kwa uwekezaji barani Afrika.
Ripoti iliyotoka wiki hii inaonyesha kuwa Nigeria imeshuka mpaka nafasi ya 14. Misri bado inashikilia nafasi ya kwanza kwa nchi zinazopendwa zaidi kwa uwekezaji Afrika, kwa mujibu wa ripoti iliyofanywa na RMB.
Waziri wa Bishara na Uwekezaji wa Nigeria Ontuba Niyi Adebayo, kushuka kwa nchi hiyo kumesababishwa na masuala mbalimbali ikiwemo kutokuwepo kwa usalama nchini humo.
“Sababu zipo nyingi, lakini sababu kuu ni matatizo ya usalama tuliyonayo nchini,” amesema Waziri Adebayo.