• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Wednesday, June 29, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Tengeni maeneo kwa ajili ya machinga: Rais Samia

Rais wa Tanzania awakumbuka machinga

Pesatu Reporter by Pesatu Reporter
July 22, 2021
in BIASHARA, BIASHARA NDOGO NDOGO
0
Share on FacebookShare on Twitter

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameziagiza halmashauri zote kuwatengea wafanyabiashara wadogo wadogo (machinga),  maeneo yanayofikiwa na watu ili waweze kunufaika na biashara zao, badala ya kuwapeleka katika maeneo ya mapori.

Akizungumza na Vijana katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza katika mkutano uliolenga kujadili fursa mbalimbali za kumkomboa kijana,  Rais Samia amesema Serikali inajenga masoko na standi katika kila mkoa ili kutenga maeneo kwa ajili ya machinga waweze kufanya biashara bila kubugudhiwa lakini baadhi ya watendaji wamekuwa wakiwapeleka katika maeneo yasiyofikika kwa urahisi.

“Lakini pia tumehimiza halmashauri kutenga maeneo maalum ambayo yanafikiwa na watu  ili vijana hao machinga wakakae na wafanye biashara zao, pamoja na maelekezo hayo,  juzi niliona  pale Morogoro machinga wametengewa maeneo ya nje ya mji ambako watu hawafiki na kwa sababu hawauzi wamerudi maeneo waliyoondoshwa.

ADVERTISEMENT

“Niliona mgambo wakiwavamia wakawapiga na kuharibu vitu vyao, nimesikitishwa sana na tukio hilo, na niseme hapa mkuu wa wilaya na mkurugenzi wa eneo lile hawana kazi,” alisema Rais Samia.

Rais alisema ”kwa sababu kuna njia nzuri zaidi ambayo wangeitumia kusema nao na wakawaondoa kwa usalama lakini si picha ile nilioiona kwenye TV, kwa hiyo nakuagiza Waziri wa Tamisemi ulishughulikie suala hilo,”.

“Nanyi watoto wangu machinga nawasihi sana msitumiwe na wafanyabiashara wenye maduka, mnapochukua bidhaa zao na kuwauzia kumbukeni hamtoi risiti hivyo mnaikosesha serikali mapato maana fedha tunazopata kutoka kwa wafanyabiashara wanazolipa ushuru ndizo tunazozitumia kuwaboreshea maeneo ya kufanyia biashara pamoja na kutatua changamoto mbalimbali hivyo nawaomba msitumike kabisa,”alisema.

 

Tags: biasharaBiashara na masokoDar es salaamTanzaniaujasiriamalivijana
Pesatu Reporter

Pesatu Reporter

Next Post
Lydia Amor ni mjasiriamali katika Halmashauri ya Mji wa Masasi ambae pia ni Mkurugenzi wa Lige Enterprise akionyesha mafuta yatokanayo na maganda ya korosho.

Maganda ya korosho yanavyotengeneza mafuta

Discussion about this post

Habari Mpya

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 28, 2022

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 28, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 28, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 28, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 28, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 28, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

by Jensen Kato
June 28, 2022
0

Kilimo biashara kinaendelea kukua barani Afrika na muda umefika kwa watu hususani vijana kuchagamkia fursa mbalimbali zinazotokana na kilimo. Watu...

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 28, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In