• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Wednesday, February 8, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Vodacom yaingia makubaliano mapya na Google Play Store kurahisisha ununuzi wa App

Patricia Richard by Patricia Richard
September 12, 2018
in BIASHARA
0
Mkuu wa Mawasiliano na Mahusiano ya umma wa Vodacom, Jacquiline
Materu (kati) akiwaonesha waandishi wa habari jinsi ya kufanya manunuzi  kwa
kutumia salio la simu wakati wa uzinduzi wa ubia huo kati ya Vodacom na
Google Play Store jijini Dar es Salaam leo. Wengine ni  Meneja wa
Ushirikiano wa Jukwaa la Android Afrika kutoka Google, Cassandra
Mensah-Abrampah (kulia) na Mtendaji wa huduma za thamani wa Vodacom, Prestin
Lyatonga (kushoto)

Mkuu wa Mawasiliano na Mahusiano ya umma wa Vodacom, Jacquiline Materu (kati) akiwaonesha waandishi wa habari jinsi ya kufanya manunuzi kwa kutumia salio la simu wakati wa uzinduzi wa ubia huo kati ya Vodacom na Google Play Store jijini Dar es Salaam leo. Wengine ni Meneja wa Ushirikiano wa Jukwaa la Android Afrika kutoka Google, Cassandra Mensah-Abrampah (kulia) na Mtendaji wa huduma za thamani wa Vodacom, Prestin Lyatonga (kushoto)

Share on FacebookShare on Twitter

Mtandao wa simu unaongoza nchini, Vodacom Tanzania PLC leo imetangaza makubaliano na Google ili kuwapa wateja wake fursa ya kununua maudhui mbali mbali kwenye Google Play store kwa kutumia salio la simu. Huduma hii, ambayo  inapatikana kwa wateja wote wa Vodacom wenye vifaa au simu za Android, inawezesha ununuzi wa programu mbali mbali kwenye Google Play Store kwa kutumia salio la simu kwenye mtandao wa Voda.

Akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi huo, Mkuu wa kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa umma, Bi. Jacquiline Materu alisema: “Kwa kuwa Mtandao wa 4G superfast wa VODACOM una kidhi, tunafurahi kushirikiana na Google kuleta njia hii rahisi, nyepesi na ya kuaminika ya malipo kwenye  Google Play Store kwa ajili ya ununuzi wa app ama programu mbali mbali kwa Watanzania. Hii ina imarisha zaidi azimio yetu ya kuzidi kuwakaribisha wateja wetu katika ulimwengu wa kidijitali huku tukiwapatia urahisi na thamani kutokana na matumizi ya kadi za benki kwa ajili ya kufanya manunuzi mtandaoni kuwa mdogo sana hapa nchini.

Sasa wateja wa Vodacom wenye vifaa ama simu za Android wanaweza kununua maudhui katika Google Play Store, kama programu, michezo, muziki, filamu, maonyesho ya TV na vitabu vya kielektroniki kwa urahisi zaidi, kwa kutumia salio la simu kwenye mtandao wa Voda. Hapo awali ni kadi za benki tu ndizo zilikuwa zikitumika kufanya manunuzi hayo.

Materu aliendelea kufafanua kuwa, uvumbuzi huu utarahisisha mchakato wa malipo na kuboresha huduma kwa wateja wake.

ADVERTISEMENT

“kama jukwaa la kuwasilisha maudhui, tunabeba jukumu la kutaarifu, kuelimisha na kuburudisha wateja wetu kwa kutumia tekinolojia. Aliongeza kuwa, wamepiga hatua kubwa kwa kuwezesha jukwaa mbali mbali za kidijitali na kijamii kuweza kupatikana kirahisi zaidi kwenye mtandao huku wakitengeneza mifumo ya kidijitali yenye kujumuisha kila mtu”

Pembeni yake Cassandra Mensah-Abrampah, Meneja wa Ushirikiano wa Jukwaa la Android | Afrika kutoka Google, alisema, “Tumefurahi sana kuongeza wigo wa ushirikiano wa malipo ya moja kwa moja baina ya  Google Play Direct na Vodacom Group ikiwa ni pamoja na kufanya uzinduzi huu na Vodacom Tanzania. Utozaji kwa njia ya simu ni mojawapo ya nguzo muhimu kwenye ujumuishi wa kifedha katika uchumi wa app ama programu katika masoko kwa sababu  watu wengi bado hawana akaunti za benki.”

Wateja watakaopenda kutumia njia hii bora ya malipo wanahitaji kufanya ifuatavyo: Ingia kwenye Google Play Store > Chagua content (Games/Apps or Movies) nenda kwenye Buy option > kisha chagua Vodacom Airtime billing as mode of payment, kisha utahitajika kuingiza taarifa zako binafsi na kuendelea na malipo baada ya kuthibitishwa. Hatua hizi zinahitajika tu kwa ununuzi wa kwanza tu. Malipo mengine yote yatakuwa ni ya moja kwa moja baada ya kuchagua mfumo wa malipo wa kutumia salio la simu kwenye mtandao wa Voda.

Tags: Google PlayVodacom
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post

Tumia ubunifu kukuza biashara

Discussion about this post

Habari Mpya

Hewa ukaa, eneo jipya la uwekezaji Tanzania

February 7, 2023

Halmashauri zahamasishwa kutenga maeneo kwa ajili ya vijana

February 7, 2023
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji.

Kijaji: changamkieni fursa za biashara Afrika

February 6, 2023
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi

Rais Mwinyi aonya wafanyabiashara

February 6, 2023
Baadhi ya vijana wakiwa kwenye Kongamano la Vijana wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati lijulikanalo kama ‘University Ladies and Gentlemen Conference.

Vijana wahamasishwa kuchangamkia fursa za kilimo

January 31, 2023
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki.

Halmashauri Tanzania zakusanya 485.42 bilioni

January 31, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Hewa ukaa, eneo jipya la uwekezaji Tanzania

by Pesatu Reporter
February 7, 2023
0

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Pindi Chana amewakaribisha wawekezaji kufanya biashara ya hewa ukaa na Serikali ya Tanzania. Dkt....

Halmashauri zahamasishwa kutenga maeneo kwa ajili ya vijana

by Pesatu Reporter
February 7, 2023
0

Halmashauri za Wilaya nchini zinahamasishwa kuendelea kutenga maeneo kwa ajili ya mashamba ya pamoja (Block Farm) kwa ajili ya kuwezesha...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In