Asante kwa kutembelea tovuti yetu, tunathamini sana mchango wako na ndiyo maana tumeweka baadhi ya vitu vinavyopaswa wewe kujua na kufuata ili kuendeleza uhusiano mzuri kati yetu na washirika wetu ili kuendelea kupeana habari mbalimbali za nchini kwetu.
- Tovuti hii inaendeshwa kwa kufuata sheria na kanuni zilizowekwa na serikali.
- Tunalinda vyanzo vyetu vya habari.
- Maoni yanayotumwa yanaonekana kwa watu wote.
- Taarifa za wateja zinalindwa na zitatumika endapo tu tutatuma habari au kuwasilisha mabadiliko yatakayotokea.
- Matumizi ya lugha yazingatiwe. Hatuta ruhusu lugha isiyofaa kutumika na watu kwenye maoni.
- Hatuta ruhusu mtu kutumia tovuti hii kujitangaza au kutangaza biashara yake kwa njia ya maoni.
- Ni vyema watu kutoa maoni yanayoendana na mada iliyoongelewa sio nje ya mada.
Lugha ya Kiswahili ndiyo lugha kuu kwenye tovuti hii lakini waweza kuvutiwa na tovuti yetu nyingine “The Exchange” kama wewe ni mpenzi wa kingereza ili uweze kuhabarika na mambo mengi zaidi ya uchumi Afrika Mashariki.
ASANTE.