Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema serikali imedhamiria kumaliza kabisa tatizo la upatikanaji wa huduma ya maji …
Patricia Richard
Wanawake ni kundi lenye mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa lolote. Mara nyingi kundi limekuwa likiachwa nyuma, suala ambalo limepelekea mchango wao wa moja kwa moja usionekane. Ili kubadili mtazamo huu, jamii inapaswa kubadilika …
-
-
Mataruma milioni 1.2 ambayo yatatumika katika ujenzi wa reli ya kisasa maarufu kama SGR kwa kipande cha Dar …
-
Na. Immaculate Makilika – MAELEZO Serikali imesema mfumo mpya wa visa na vibali vya ukaazi vya kielektroniki unatajwa …
-
Waziri wa Viwanda na Biashara Zanzibar, Balozi Amina Salum Ali amesema baada ya serikali kufanya utafiti na kubaini …
-
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inatarajia kutoa Sh. 27.4 bilioni za Kenya (Sawa na Euro 235 milioni) …
-
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wakulima mkoani Tabora kuchangamkia fursa za mikopo inayotolewa na …
-
Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga ametangaza kuwachukulia hatua wafanyabiashara wanaouza mbegu feki zilizopigwa marufuku na serikali na kuwataka …
-
Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Stella Manyanya amesema serikali haitasita kuwanyang’anya viwanda wawekezaji ambao wameshindwa …
-
Benki ya China Dasheng Bank Limited imeanza rasmi kutoa huduma za kibenki jijini Dar es Salaam, ikiwa na mtaji …
-
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo amevitaka vyama vya ushirika vilivyopo mkoani humu kuhakikisha wanaziondoa korosho katika …