• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Sunday, June 26, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Makamu wa Rais awapa Vodacom Tuzo SabaSaba

Athanas Lupatu by Athanas Lupatu
July 18, 2019
in BIASHARA
0
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan amekabidhi cheti na tuzo kwa Meneja Biashara na Mkakati wa Mauzo wa Vodacom Tanzania kanda ya Pwani, Caleb Majo, kwa kutambua udhamini walioutoa katika kipindi hiki cha maonesho ya 43 ya sabasaba 2019,  jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Cheti na Tuzo Meneja Biashara na Mkakati wa Mauzo wa Vodacom Tanzania kanda ya Pwani, Caleb Majo, kwa kutambua udhamini walioutoa katika kipindi hiki cha maonesho ya 43 ya sabasaba 2019, jijini Dar es Salaam jana. Kwa miaka mingi Vodacom Tanzania imekuwa ikidhamini maonyesho ya sabasaba upande wa mawasiliano na mwaka huu wamewaandalia wateja wao huduma za kidijitali katika banda lao kwenye maonyesho hayo yanayoendelea.
Tags: SabasabaSamia Suluhu HassanVodacom
Athanas Lupatu

Athanas Lupatu

Next Post
Picha ya pamoja huku fataki zikiwaka kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma mpya ya SC Keyboard ya Kibenki kwa wateja wa Benki ya Standard Chartered kutoka kushoto ni Meneja Bidhaa wa Benki ya Standard Chartered nchini, Bw. Ndibalema Rwezaura, Balozi wa Huduma za Kibenki za Kidigitali wa Benki ya Standard Chartered, Vanessa Mdee, Mkuu wa Mahusiano na Masoko wa Benki hiyo, Bi. Juanita Mramba, Mkuu wa Wateja wa Kawaida wa Benki hiyo, Bw. Ajmair Riaz pamoja na Mkuu wa Teknolojia wa benki hiyo Bw. Christopher Vuhahula  katika hafla fupi iliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt-Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.

Benki ya Standard Chartered yaleta huduma mpya ya 'SC Keyboard Banking'

Discussion about this post

Habari Mpya

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 24, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 23, 2022

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 23, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 22, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 22, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 20, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 24, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

by Pesatu Reporter
June 23, 2022
0

Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In