• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Saturday, September 23, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Precision Air yaja na Paa Royal

Patricia Richard by Patricia Richard
August 28, 2018
in BIASHARA
0
Safari mpya za Precision Air
Share on FacebookShare on Twitter

Shirika la ndege la Precision Air linalofanya safari katika mikoa mbalimbali nchini pamoja na nje ya nchi limetangaza ofa mpya kwa wateja waobaada ya kuingia makubaliano na hoteli ya Southern Sun na mgahawa wa Akemi kuwazawadia punguzo la asilimia 20 wasafiri wa mara kwa mara.

Akizungumzia ushirikiano huo. Meneja masoko na mawasiliano wa Precision Air, Hillary Mremi amesema makubaliano hayo yanatekelezwa chini ya programu iitwayo “Paa Royal” ambayo itaweza kuwanufaisha wateja hao kwa kuwapatia kadi maalumu wateja wake

ADVERTISEMENT

Soma Pia Precision Air yazindua safari za Kahama leo

Likiwa ni shirika la kitanzania lenye wanachama wapatao 20,000 Precision Air imekuwa ikitoa huduma za usafiri wa anga kwa zaidi ya miaka 20 katika sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi hivyo kusaidia katika kutangaza vivutio mbalimbali vinavyopatikana nchini.

Akielezea malengo ya kuanzisha mpango huo , Mremi amesema kuwa mpango wa Paa Royal ni kuwafanya wanachama wao kufaidika kupitia pointi wanazopata kwa kusafiri na shirika hilo kama moja ya njia ya kutambua mchango mkubwa wa wanachama na wateja wa shirika hilo.

“Precision Air tunatoa kipaumbele kwa wanachama na wateja wetu kuliko kitu kingine chochote ndio maana mara zote tunahakikisha wanafurahia safari zao wanaposafiri nasi. Ushirikiano wetu na hoteli ya Southern Sun na mgahawa wa Akemi ni mwanzo tu, tutaendelea kuongeza faida nyingi zaidi na zenye tija kwa wateja wetu”. Ameeleza Mremi.

Soma Pia ATCL kuruka nje

Naye Mkurugenzi wa hoteli ya Southern Sun, Michael Phillipson amesema kuwa anafurahi kwa kampuni ya Precision Air kuzikubali kazi zao na kuamua kushirikiana nao kwa kutoa asilimia punguzo  la asilimia 20 kwenye vinywaji na chakula pamoja na punguzo la asilimia 10 kwa huduma za malazi hotelini hapo.

“Kwa zaidi ya miaka 17 tumekuwa tujkitoa huduma bora za malazi na chakula nchini. Tukiwa ni moja ya hoteli bora na za kisasa jijini Dar es salaam iliyopo katikati ya jiji”. Amesema Mkurugenzi huyo

 

 

Tags: biasharaPrecision AirUsafiri wa anga
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post
Ofisa Elimu Mkuu kwa Mlipakodi wa TRA,Rose Mahendeka.

Wanaostahili msamaha TRA watajwa

Discussion about this post

Habari Mpya

Waziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki.

Wadau ufugaji nyuki watakiwa kuchangamkia fursa

September 14, 2023

Benki ya Exim yajikita uwazi shughuli za bima

September 14, 2023
Naibu Waziri wa Fedha Hamad Hassan Chande.

Tanzania yapiga hatua utakatishaji fedha

September 12, 2023
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Picha| Ikulu

Tutawaunganisha wakulima na soko: Rais Samia

September 11, 2023

Mbaazi yaleta neema kwa wakulima 2023

September 7, 2023

Bei za mafuta zapanda tena Tz

September 6, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Waziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki.

Wadau ufugaji nyuki watakiwa kuchangamkia fursa

by Pesatu Reporter
September 14, 2023
0

Tanzania ni nchi ya pili kwa uzalishaji wa asali barani Afrika na inashika nafasi ya 14 dunia. Ethiopia, ndio nchi...

Benki ya Exim yajikita uwazi shughuli za bima

by Pesatu Reporter
September 14, 2023
0

Benki ya Exim imezindua ushirikiano wa kimkakati na Mamlaka ya Udhibiti wa Bima Tanzania (TIRA) pamoja na kufanya mafunzo ya...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In