• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Saturday, June 25, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

UDSM kufadhili wanafunzi wa masomo ya sayansi

Ni wenye ufaulu wa alama za juu

Pesatu Reporter by Pesatu Reporter
February 25, 2021
in Elimu
0
Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako

Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako

Share on FacebookShare on Twitter

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimezindua ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa kidato cha sita ambao wamepata viwango vya juu vya ufaulu katika masomo yao ya sayansi.

Akizindua ufadhili huo  jijini Dar es Salaam, Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekonolojia Profesa Joyce Ndalichako amesema anakishukuru chuo hicho kwa kuanzisha jambo hilo ambalo linakwenda kuwa mkombozi kwa wanafunzi wanaotaka kuendelea na elimu ya juu lakini wanashindwa kutokana na changamoto mbalimbali.

Amesema anawaomba wanafunzi wote hasa wale wa kidato cha sita waliopo shuleni kusoma kwa bidi ili waweze kuwa miongoni mwa wanufaika wa ufadhili huo unaotolewa na chuo hicho.

“Sisi kama wizara tunatambua kazi kubwa inayofanywa na UDSM na tutaendelea kushirikiana nao kuhakikisha jambo hilo walilolianzisha linapata mafanikio makubwa, ila niwaondoe wasiwasi kuwa atutawaingilia katika upatikanaji wa wanafunzi hao.

“Tunahitaji kupata wataalamu watakaoweza kushindana vizuri katika soko la ajira na kusukuma gurudumu la maendeleo mbele, hivyo ufadhili huu utatusaidia kama nchi kupata wataalamu wengi” amesema Prof. Ndalichako

Hata hivyo amesema ufadhili huo ni fursa adimu kwa wanafunzi wanaotaka kujiendeleza zaidi kimasomo na kuongeza kuwa watamfatilia kila mwanafunzi atakayebahatika kuchaguliwa katika ufadhili huo.

Aidha Prof. Ndalichako amewataka wanafunzi hasa wa vyuo vikuu kutumia vizuri uhuru wanaoupata wanapokuwa vyuoni kwa kusoma tu na kuacha kufanya mambo yasiyofaha katika jamii.

“Mambo mengine kama starehe wanangu mtavikuta pindi utakapomaliza masomo, hakikisheni mnapokuwa chuoni mnafanya kile kilichowapeleka,” amesema

Kwa upande wake Katibu Mkuu wa Wizara hiyo ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk. Leonard Akwilapo amesema kuwa upatikanaji wa wanufaika wa ufadhili huo utakuwa wa wazi.

ADVERTISEMENT

Naye Makamu Mkuu wa UDSM, Profesa William Anangisye amesema kuwa walengwa wakubwa katika ufadhili huo ni watoto wa wakulima na wafanyakazi waliomaliza kidato cha sita na kupata daraja la juu la ufahulu katika masomo yao ya sayansi.

Amesema ili mwanafunzi aendelee kunufaika na ufadhili huo lazima aendelee kufanya vizuri kila mwaka katika masomo yake yote ya chuoni hapo.

Tags: elimu ya juuTanzania
Pesatu Reporter

Pesatu Reporter

Next Post

TCRA yatoa kanuni mpya vifurushi vya simu

Discussion about this post

Habari Mpya

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 24, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 23, 2022

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 23, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 22, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 22, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 20, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 24, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

by Pesatu Reporter
June 23, 2022
0

Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In