Home BENKI CRDB kutoa gawio kwa kila hisa

CRDB kutoa gawio kwa kila hisa

0 comment 65 views

Katibu wa Benki ya CRDB John Rugambu amesema baada ya benki hiyo kupata faida ya takribani Sh. 51 bilioni mwaka jana, wamejipanga kulipa gawio la Sh. 5 kila hisa yake ifikapo mwezi wa sita mwaka huu.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na benki hiyo, gawio hilo linatarajia kulipwa mara baada ya kuidhinishwa na mkutano mkuu wa wanahisa ambao unategemea kufanyika Mei 19 mwaka huu. Wanahisa wote wa benki hiyo watalipwa kupitia akaunti zao za CRDB,Tigo-Pesa, M-Pesa na Airtel Money.

About Us

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905.

Editors' Picks

Newsletter