• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Thursday, March 30, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Maadhimisho ya miaka 10 ya huduma ya M-Pesa ya Vodacom yafikia tamati

Athanas Lupatu by Athanas Lupatu
September 17, 2018
in BIASHARA, FEDHA
0
Mkurugenzi wa M-Commerce wa Vodacom Tanzania Ashtosh Tiwary (kulia) akikabidhi funguo za gari kwa Lucy Sarah Ismail (wa pili kulia) mshindi wa 10 wa gari za kampeni ya m-pesa wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka kumi ya m-pesa jijini Dar es Salaam wikiendi hii. Wengine ni Mkurugenzi wa mawasiliano na uhusiano wa Vodacom, Rosalynn Mworia (wa pili kushoto) na Alec Mulonga Mkurugenzi wa Mtandao wa Vodacom (kushoto).

Mkurugenzi wa M-Commerce wa Vodacom Tanzania Ashtosh Tiwary (kulia) akikabidhi funguo za gari kwa Lucy Sarah Ismail (wa pili kulia) mshindi wa 10 wa gari za kampeni ya m-pesa wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka kumi ya m-pesa jijini Dar es Salaam wikiendi hii. Wengine ni Mkurugenzi wa mawasiliano na uhusiano wa Vodacom, Rosalynn Mworia (wa pili kushoto) na Alec Mulonga Mkurugenzi wa Mtandao wa Vodacom (kushoto).

Share on FacebookShare on Twitter

Katika maadhimisho ya kuanzishwa kwa huduma ya M-Pesa ya Vodacom nchini,kampuni ya Vodacom Tanzania imekabidhi gari la mwisho aina ya Renault KWID 2017 kwa Lucy Sarah Ismail mkazi wa Dar es Salaam ambaye ni mshindi wa mwisho katika kampeni ya kipindi cha wiki 10, ambayo imewezesha washindi 10 kujishindia magari  mapya aina ya Renault KWID na fedha taslimu shilingi milioni 120/- kampeni hiyo iliwahusisha wafanyakazi,mawakala na wateja.

Shamrashamra hizo za kusherekea,  zilizodumu kwa kipindi cha wiki 10, zililenga kuwashukuru zaidi ya wateja milioni 8.2 wanaotumia huduma ya M-Pesa, ambao walishuhudia ikianzishwa kutoka huduma za kifedha kupitia simu za mkononi kwa kufanya mihamala ya kutuma fedha na kutumika  kulipia huduma muhimu katika maisha ya kila siku, ikiwemo huduma za kibenki kupitia mtandao wa simu za mkononi,kuweka akiba na kukopa na kuaminika kutumika kufanya mihamala ya malipo ya kimataifa.Mpaka sasa  biashara au mtoa huduma ambaye hakubali kutumia huduma ya M-Pesa atabaki nyuma kibiashara.

Akiongea katika hafla ya kukabidhi gari la mwisho,Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania,Hisham Hendi,alibainisha kuhusu mapinduzi yaliyoletwa na matumizi ya huduma za fedha kupitia simu za mkononi nchini Tanzania, “Matumizi ya teknolojia yamewezesha kuogezeka kwa kiasi kikubwa cha matumizi ya huduma ya M-Pesa kwa kuwezesha asilimia 55% ya wananchi kupata huduma za kifedha.Tunatambua safari hii ndefu katika historia ya kampuni yetu na mchango mkubwa kutoka kwa wateja wetu,mawakala na wabia wengine tulioshirikiana nao kupata mafanikio ya huduma ya M-Pesa nchini Tanzania-na tuendelee kutarajia mambo mengine mazuri yatakuja”.

Mkurugenzi wa mawasiliano na uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kati) akikabidhi funguo na hati ya gari kwa Lucy Sarah Ismail (kushoto), mshindi wa gari ya kumi ya kampeni ya Mpesa aliyo kabidhiwa jijini Dar es Salaam wikiendi hii. Kulia ni Mkurugenzi wa M-Commerce wa Vodacom, Ashtosh Tiwary.

M-Pesa imefanikisha na inaendelea kuwa na mchango mkubwa kwa uchumi ambapo   asilimia 37 ya mzunguko wa fedha katika Pato la Taifa hupitia katika  M-Pesa kila siku, imewezesha ajira zaidi ya 200,000 na zaidi ya biashara 20,000  hufanya mihamala mbalimbali kupitia M-Pesa kila siku. Kutokana na manufaa yake katika kukuza uchumi tutaendelea kufanya ubunifu wa kiteknolojia kwa kuiboresha zaidi ili wateja wazidi kuifurahia sambamba na kuimarisha ubora wa huduma zetu.

ADVERTISEMENT

Mapema mwaka huu, huduma za M-Pesa zimethibitishwa na GSMA kuwa ina usalama mkubwa na kutangazwa katika ngazi ya dunia kuwa huduma ya kwanza kupata hadhi hiyo. Mapema wiki hii, Jumatatu tarehe 10.9.2018, ilizindua kadi ya kwanza ya mtandao nchini Tanzania-Kadi hiyo ya M-Pesa imezinduliwa kwa ushirikiano wa MasterCard na Benki ya BancABC ambayo inaruhusu wateja kufanya mihamala ya malipo kupitia mtandaoni kwenye biasharaza ndani na kimataifa kwa usalamana urahisi.Uzinduzi huu wa hivi karibuni umekuja katika kipindi cha muda mfupi kuanzisha programu ya kufanya mihamala ya malipo ya QR katika matumizi ya huduma za M-Pesa.

Hishamu alimalizia kwa kusema, “Wateja wetu ni moyo wa kila kitu tunachofanya na ndiyo sababu tunafurahi kuwa katika safari hii na Watanzania tukiwa tunaongoza kuipeleka nchi katika ulimwengu wa kidigitali kupitia ubunifu mkubwa wa matumizi ya mtandao, sio tu kwa kwa huduma za M-Pesa bali kuunganishwa katika mtandao wetu ulio na ubora mkubwa.

Mkurugenzi wa mawasiliano na uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia akimuwashia gari Lucy Sarah Ismail, mshindi wa gari ya kumi wa kampeni ya M-pesa aliyokabidhiwa jijini Dar es salaam wikiendi hii.
Tags: Hisham HendiM-PesaRenault KWIDRosalynn MworiVodacom
Athanas Lupatu

Athanas Lupatu

Next Post
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe.

Msamaha wa kodi miradi ya maendeleo waanza rasmi

Discussion about this post

Habari Mpya

Serikali, Benki ya Dunia wajadili ushiriki Sekta binafsi

March 30, 2023
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Msiwabanie vijana wajasiriamali: Majaliwa

March 28, 2023
Lusaka-Zambia. Picha|Mtandao

Watanzania watakiwa kuchangamkia fursa Zambia

March 27, 2023
Waziri  wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa, Adolf Mkenda.

Waziri wa Elimu azungumza na Benki ya Dunia

March 27, 2023

Bilioni 647.5 kuitoa Kagera gizani

March 17, 2023
Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba.

44.4bn kutumika matumizi ya kawaida na maendeleo

March 13, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Serikali, Benki ya Dunia wajadili ushiriki Sekta binafsi

by Pesatu Reporter
March 30, 2023
0

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru amesema Serikali inafanya majadiliano ya kimkakati na Benki ya Dunia...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Msiwabanie vijana wajasiriamali: Majaliwa

by Pesatu Reporter
March 28, 2023
0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza viongozi wa Mkoa wa Simiyu wasiwabane wajasiriamali, wawaelimishe na kuwapa miongozo ili wajiendeleze kiuchumi. Majaliwa...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In