• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Monday, January 30, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Mfumuko wa bei wapungua

“Mfumuko wa bei wa taifa unapima kiwango cha kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma zote zinazotumiwa na kaya binafsi nchini”. Amefafanua Kwesigabo.

Patricia Richard by Patricia Richard
November 9, 2018
in BIASHARA
0
Mfumuko wa bei wafikia 3.1%

Mkurugenzi wa Sensa ya Takwimu za Kijamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ephraim Kwesigabo.

Share on FacebookShare on Twitter

Mkurugenzi wa sensa ya watu na makazi na takwimu za jamii, Ephraim Kwesigabo,amesema mfumuko wa bei wa taifa kwa mwaka unaoishia Oktoba umepungua na kufikia asilimia 3.2 ikilinganishwa na asilimia 3.4 kwa mwaka ulioishia Septemba mwaka huu. Kwesigabo ameeleza kuwa, kupungua huko kunamaanisha kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma imepungua ikilinganishwa na ile ya mwaka ulioishia Septemba.

“Mfumuko wa bei wa taifa unapima kiwango cha kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma zote zinazotumiwa na kaya binafsi nchini”. Amefafanua Kwesigabo.

ADVERTISEMENT

Mkurugenzi huyo amesema mfumuko wa bei wa bidhaa za vyakula na vinywaji baridi kwa mwezi Oktoba umepungua  na kufikia asilimia 1.2 kutoka asilimia 2.0 Septemba mwaka huu na kuzitaja baadhi ya bidhaa za chakula zilizochangia kupungua kwa mfumuko wa bei wa mwezi Oktoba katika mwaka huu ni pamoja na mchele kwa asilimia 3.8, mahindi kwa asilimia 21.8, unga wa mahindi kwa asilimia 11.6, unga wa mtama kwa asilimia 5.1, unga wa muhogo kwa asilimia 14.1, maharage kwa asilimia 3.0, mihogo mibichi kwa asilimia 5.9, viazi vitamu kwa asilimia 2.1, migimbi kwa asilimia 23.2 na ndizi za kupika kwa asilimia 11.6.

Akizungumzia mfumuko wa bei kwa ukanda wa Afrika Mashariki, Kwesigabo ameeleza kuwa mfumuko wa bei nchini Kenya kwa mwaka unaoishia Oktoba mwaka huu, umepungua hadi asilimia 5.53 huku nchini Uganda, mfumuko wa bei kwa mwaka unaoishia Oktoba ukipungua hadi asilimia 3.0 kutoka asilimia 3.7 ya Septemba mwaka huu.

Tags: Ephraim KwesigaboKenyamfumuko wa beiUganda
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post
Majaliwa ataka benki kushusha riba

Wakulima waruhusiwa kuuza mahindi nje

Discussion about this post

Habari Mpya

Poland kuisaidia Tanzania kuweka mifumo ya kodi kidigitali

January 26, 2023

Kamati ya bunge yahimiza uwekezaji maeneo ya hifadhi

January 21, 2023

Serikali kuanzisha mnada wa chai

January 20, 2023

Tumieni bandari ya Dar es Salaam: Makalla

January 19, 2023
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Jukwaa la Uchumi Duniani.

Sekta ya kilimo kukua kwa 10% 2030: Rais Samia

January 19, 2023

Ndege tano kuwasili mwaka huu

January 17, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Poland kuisaidia Tanzania kuweka mifumo ya kodi kidigitali

by Pesatu Reporter
January 26, 2023
0

Poland imeahidi kuisadia Tanzania kuimarisha mifumo ya kodi kwa njia ya kidigitali ili kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa mapato ya...

Kamati ya bunge yahimiza uwekezaji maeneo ya hifadhi

by Pesatu Reporter
January 21, 2023
0

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeishauri Wizara ya Maliasili na Utalii iendelee kuzifanyia maboresho kanuni...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In