• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Sunday, June 26, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

RC Makalla: Serikali imedhamiria kuweka mazingira bora ya ufanyaji biashara

Awaelekeza Wakuu wa Wilaya kuitisha Mabaraza ya Biashara mara kwa mara

Pesatu Reporter by Pesatu Reporter
May 19, 2022
in BIASHARA
0
Share on FacebookShare on Twitter

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam  Amos Makalla ameitisha kikao kazi na Jumuiya ya Wafanyabiashara na Mamlaka za Udhibiti na Usimamizi wa Biashara kwa lengo la kuweka ustawi msuri wa ufanyaji biashara ikiwa ni pamoja kuweka mazingira bora ili kuinua uchumi wa wafanyabiashara na serikali kupata mapato.

Katika kikao hicho, RC Makalla amepokea changamoto mbalimbali za wafanyabiashara ikiwemo ucheleweshwaji mizigo bandarini,  utoaji wa nakala TRA, kamatakamata ya mizigo, idara ya Uhamihaji kutoa muda wa siku saba pekee kwa wafanyabiashara wageni wanaokuja kununua mizigo nchini.

Nyingine ni utaratibu wa Forodha, ushuru wa huduma (service levy) ambapo Jumuiya ya wafanyabiashara wametoa mapendekezo ya kutatua kero hizo.

ADVERTISEMENT

Kutokana na mapendekezo hayo, RC Makalla ameunda kamati ya kufuatilia na kushughulikiwa kero za wafanyabiashara itakayojumuisha wawakilishi watatu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara, wataalamu kutoka mamlaka za udhibiti na usimamizi wa biashara ikiwemo Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Ofisi ya Rais Vyombo vya ulinzi na usalama na Kamati itaongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa.

Aidha RC Makalla amesema miongoni mwa mambo kamati itaanza kuyafanyia kazi ni ufuatiliaji na utekelezaji wa mapendekezo yote yaliyowasilishwa na Jumuiya ya Wafanyabiashara ambapo pia ameelekeza Wakuu wa Wilaya zote kuhitisha mabaraza ya biashara.

Hata hivyo amesema serikali ya Mkoa huo inaanza mara moja kushughulikia changamoto zilizopo kwenye ngazi ya  mkoa na zile zitakazohitaji maamuzi ya mamlaka za juu atawasilisha nakala kwenye ngazi ya Wizara kwaajili ya utekelezaji.

RC Makalla pia ameelekeza TPA kuandika barua kwa TASAC kuzitaka Bandari kavu ICD kuondosha mizigo kwa wakati ili kupunguza changamoto ya mlundikano wa mizigo bandarini.

 

Tags: Bandari ya Dar es salaambiasharaBiashara na masokoDar es salaamrais samiaTanzania
Pesatu Reporter

Pesatu Reporter

Next Post
Rais Samia Suluhu. Picha|Mtandao

Rais Samia aenda Ghana

Discussion about this post

Habari Mpya

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 24, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 23, 2022

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 23, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 22, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 22, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 20, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 24, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

by Pesatu Reporter
June 23, 2022
0

Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In