• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Sunday, January 29, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Ujenzi wa bandari Pwani wamvutia Kamwelwe

“Kukamilika kwa bandari kavu kutaongeza kasi ya upakuaji mzigo kwa meli zinazoingia Dar es salaam"

Patricia Richard by Patricia Richard
December 11, 2018
in MIUNDOMBINU
0
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe.

Share on FacebookShare on Twitter

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa bandari kavu ya Kwala mkoani Pwani. Waziri Kamwelwe amesema hayo baada ya kutembelea mradi huo unaotekelezwa na Suma-JKT na kueleza kuwa, bandari hiyo inatarajiwa kuanza kupokea mizigo rasmi Julai Mosi 2019 na kuwa suluhisho kwa changamoto ya kuondoa mizigo iliyopo katika Bandari ya Dar es salaam hususani inayosafirishwa kuelekea Rwanda, Uganda, Malawi, Zambia, Congo, Burundi na nchi nyingine za maziwa makuu. Vilevile, Waziri huyo amesema kuwa, bandari hiyo itahusisha pia miundombinu ya reli, barabara na majengo kwa ajili ya ofisi na kutoa huduma mbalimbali.

ADVERTISEMENT

“Kukamilika kwa bandari kavu kutaongeza kasi ya upakuaji mzigo kwa meli zinazoingia Dar es salaam kwani moja ya changamoto sasa katika bandari hiyo ni ufinyu wa eneo la kuweka makasha”. Amesema Waziri huyo.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa Usimamizi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Deusdedit Kakoko amesema kukamilika kwa mradi huo ambao hadi sasa umegharimu Sh. 15 bilioni kutaiwezesha kupokea na kutunza makasha zaidi ya milioni 1.5 tofauti na hali ilivyo sasa ambapo eneo la bandari linachukua makasha 650,000 pekee.

Tags: bandariIsack KamwelwePwaniTPA
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (katikati) akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani)  jijini Dar es Salaam  juu ya kuwatunuku watumiaji wa mtandao wa Vodacom, points za Tuzo zenye thamani ya shilingi bilioni 1 katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu na Mwaka Mpya yenye kaulimbiu 'Nabaki mulemule na Vodacom'. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni hiyo Rossalyn Mworia  na  Kaimu Mkurugenzi wa biashara, Linda Riwa .

Vodacom Tanzania PLC yawatunuku watumiaji wa mtandao bomba Pointi za Tuzo zenye thamani ya shilingi bilioni 1

Discussion about this post

Habari Mpya

Poland kuisaidia Tanzania kuweka mifumo ya kodi kidigitali

January 26, 2023

Kamati ya bunge yahimiza uwekezaji maeneo ya hifadhi

January 21, 2023

Serikali kuanzisha mnada wa chai

January 20, 2023

Tumieni bandari ya Dar es Salaam: Makalla

January 19, 2023
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Jukwaa la Uchumi Duniani.

Sekta ya kilimo kukua kwa 10% 2030: Rais Samia

January 19, 2023

Ndege tano kuwasili mwaka huu

January 17, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Poland kuisaidia Tanzania kuweka mifumo ya kodi kidigitali

by Pesatu Reporter
January 26, 2023
0

Poland imeahidi kuisadia Tanzania kuimarisha mifumo ya kodi kwa njia ya kidigitali ili kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa mapato ya...

Kamati ya bunge yahimiza uwekezaji maeneo ya hifadhi

by Pesatu Reporter
January 21, 2023
0

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeishauri Wizara ya Maliasili na Utalii iendelee kuzifanyia maboresho kanuni...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In