• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Sunday, February 5, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Taasisi ya Dk Ntuyabaliwe yakabidhi maktaba Tandale Magharibi

Athanas Lupatu by Athanas Lupatu
January 28, 2019
in WANAWAKE NA MAENDELEO
0
Muasisi na mwenyekiti wa  taasisi ya Dk Ntuyabaliwe, Jacqueline Mengi akikata utepe kufungua maktaba mpya ya shule ya msingi Tandale Magharibi iliyojengwa na taasisi hiyo katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma. Wanaoshuhudia tukio hilo ni Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Grace Mtesigwa, Mwakilishi wa Wazazi  Sudi Makamba, viongozi wa bodi ya shule pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo.

Muasisi na mwenyekiti wa taasisi ya Dk Ntuyabaliwe, Jacqueline Mengi akikata utepe kufungua maktaba mpya ya shule ya msingi Tandale Magharibi iliyojengwa na taasisi hiyo katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma. Wanaoshuhudia tukio hilo ni Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Grace Mtesigwa, Mwakilishi wa Wazazi Sudi Makamba, viongozi wa bodi ya shule pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo.

Share on FacebookShare on Twitter

Muasisi na mwenyekiti wa  taasisi ya Dk Ntuyabaliwe, Jacqueline Mengi amezindua Maktaba ya Shule ya Msingi Tandale Magharibi na kutoa wito kwa wanafunzi kuitumia vyema maktaba hiyo kujenga maarifa.

Aidha amewataka wanafunzi kuilinda maktaba hiyo kama chanzo cha maarifa na weledi.

Muasisi na mwenyekiti wa  taasisi ya Dk Ntuyabaliwe, Jacqueline Mengi akikata utepe kufungua maktaba mpya ya shule ya msingi Tandale Magharibi iliyojengwa na taasisi hiyo jijini Dar es Salaam katika hafla iliyofanyika mwishoni mwa juma. Wanaoshuhudia tukio hilo ni Mwalimu Mkuu  wa shule hiyo, Doris Msigalo (katikati), Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Grace Mtesigwa (wa kwanza kulia) pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo.

Maktaba hiyo imewezeshwa na taasisi hiyo kufuatia shindano la Andika Chalenge kwa shule za serikali nchini.

Aliwataka pia wazazi kutekeleza jukumu lao la kushawishi watoto kusoma vitabu na kutumia maktaba na kuwa weledi katika masomo kwa kujisomea.

Muasisi na mwenyekiti wa  taasisi ya Dk Ntuyabaliwe, Jacqueline Mengi akifunua pazia kuzindua nembo ya taasisi hiyo wakati wa hafla ya kufungua maktaba mpya ya shule ya msingi Tandale Magharibi iliyojengwa na taasisi hiyo katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma.

Akizindua maktaba hiyo ambayo Taasisi iliikarabati, kuweka mashubaka pamoja na vitabu vya aina mbalimbali, Mwenyekiti wa Taasisi, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi amesema amejisikia furaha kutimiza ahadi ya kukabidhi maktaba kwa shule hiyo iliyotoa mshindi.

Katika  shindano hilo la uandishi la Andika Challenge ambalo linafanyika mikoa yote Tanzania na kushirikisha wanafunzi wote wa shule za msingi za serikali kuanzia darasa la 4 mpaka la 7 ambapo wanafunzi huandika hadithi na kutuma kwa sanduku la posta 163 Dar es salaam, washindi huzawadiwa tuzo na shule aliyotoka husaidiwa kuwa na maktaba.

Muasisi na mwenyekiti wa  taasisi ya Dk Ntuyabaliwe, Jacqueline Mengi na Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Grace Mtesigwa wakipitia baadhi ya vitabu vilivyotolewa na taasisi hiyo kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya msingi Tandale Magharibi kujisomea na kuongeza maarifa.

Shule ya Msingi Tandale Magharibi imepata maktaba hiyo baada ya mwanafunzi wake Nuurat Venance kushinda shindano la kutunga hadithi lililowashindanisha wanafunzi wa shule za msingi za manispaa za Kinondoni na Ubungo, jijini Dar es salaam.  Hivi sasa shindano hilo linawashindanisha wanafunzi  wote wa shule za msingi hapa nchini.

Muasisi na mwenyekiti wa  taasisi ya Dk Ntuyabaliwe, Jacqueline Mengi akimkumbatia mwanafunzi  Nuurat Venance aliyeshinda shindano la kutunga hadithi “Andika Challenge” lililowashindanisha wanafunzi wa shule za msingi za manispaa za Kinondoni na Ubungo, jijini Dar es salaam na kupelekea shule yake kujengewa maktaba na taasisi hiyo.

Alisema baada ya mshindi kupatikana mwaka jana ambaye alitoka katika shule hiyo, taasisi ilibaki na changamoto ya kuwezesha kupatikana kwa maktaba, na anapoifungua maktaba hiyo anafurahishwa kuwa taasisi imetekeleza ahadi yake kwa mshindi wa shindano hilo.

Jacqueline Mengi akizungumza katika makabidhiano hayo alisema kwamba nia kubwa wa shindano hilo ni kusaidia watoto kujua kusoma na kuandika na pia kuwa wabunifu na kutumia ubunifu wao kusonga mbele.

Muasisi na mwenyekiti wa  taasisi ya Dk Ntuyabaliwe, Jacqueline Mengi  akizungumza na wanafunzi pamoja na wazazi mara baada ya kufungua maktaba mpya shule ya msingi Tandale Magharibi iliyojengwa na taasisi hiyo jijini Dar es Salaam.

Alisema pamoja na serikali kuwezesha elimu bure, wao kama taasisi wanatoa mchango wao ambao utasaidia kuimarishwa kwa tabia ya kusoma na kujipatia maarifa kutoka katika maktaba.

ADVERTISEMENT

Alisema taasisi ya Dk Ntuyabaliwe iliyoanzishwa kwa ajili ya kumuenzi baba yake ambaye alikuwa anapenda sana kujisomea vitabu na kuwahimiza watoto wake akiwemo yeye kujifunza kusoma,  kwa sasa inaendesha shindano hilo la Andika Challenge ili kuhakikisha kwamba wanafunzi wanajijenga katika ubunifu na matumizi wa lugha ya Kiswahili kwa kutunga hadithi zao wenyewe.

Anasema kwa msimu huu mashindano hayo yanaendelea na kwamba vigezo vinavyostahili kufanywa na wanafunzi kuanzia darasa la 4 hadi la 7.

Ikiamini kwamba kusoma na kuandika ndio njia pekee ya kukabiliana na wanafunzi wanaomaliza shule bila kujua kuandika Jacquline alisema kwa sasa wamewezesha shule 7 kuwa na maktaba, wanafunzi 4,406 kusaidia mambo mbalimbali na vitabu takaribani 20,827 kuwafikia wanafunzi.

Muasisi na mwenyekiti wa  taasisi ya Dk Ntuyabaliwe, Jacqueline Mengi akipewa mkono wa pongezi na Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Grace Mtesigwa mara baada ya kuonyesha picha za muonekano wa jengo la maktaba ya shule ya msingi Tandale Magharibi lilivyokuwa awali.

Mapema Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Grace Mtesigwa alisema kitendo cha kukabidhi maktaba kwa shule hiyo, Taasisi ya Dk Mtuyabaliwe imekuwa ikiunga mkono kwa vitendo jitihada za Rais John Magufuli za kuboresha elimu nchini.

Wakitoa shukrani kwa niaba ya shule, Mwalimu Mkuu Doris Msigalo na Mwakilishi wa Wazazi  Sudi Makamba wameishukuru Taasisi na kusisitiza kuwa wataitumia na kuitunza vizuri maktaba hiyo.

Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Tandale Magharibi, Doris Msigalo akitoa neno la shukrani Muasisi na mwenyekiti wa taasisi ya Dk Ntuyabaliwe, Jacqueline Mengi mara baada ya kuwakabidhi jengo jipya la maktaba shuleni hapo.
Tags: Doris MsigaloDr. Ntuyabaliwe FoundationGrace MtesigwaJacquiline MengiShule ya Msingi Tandale
Athanas Lupatu

Athanas Lupatu

Next Post
Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akipokea vitambulisho maalumu vya wamachinga.

Ma-Rc wapokea Vitambulisho vipya

Discussion about this post

Habari Mpya

Baadhi ya vijana wakiwa kwenye Kongamano la Vijana wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati lijulikanalo kama ‘University Ladies and Gentlemen Conference.

Vijana wahamasishwa kuchangamkia fursa za kilimo

January 31, 2023
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki.

Halmashauri Tanzania zakusanya 485.42 bilioni

January 31, 2023
Mohammed Dewji (Mo Dewji). Picha|Mtandao

Watieni nguvu wawekezaji: Makalla

January 30, 2023

Vijana Tanzania kupatiwa eka 10 kulima

January 30, 2023

Poland kuisaidia Tanzania kuweka mifumo ya kodi kidigitali

January 26, 2023

Kamati ya bunge yahimiza uwekezaji maeneo ya hifadhi

January 21, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Baadhi ya vijana wakiwa kwenye Kongamano la Vijana wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati lijulikanalo kama ‘University Ladies and Gentlemen Conference.

Vijana wahamasishwa kuchangamkia fursa za kilimo

by Pesatu Reporter
January 31, 2023
0

Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde amewataka vijana nchini Tanzania kuchangamkia fursa zilizopo kwenye sekta ya kilimo kupitia utekelezaji wa...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki.

Halmashauri Tanzania zakusanya 485.42 bilioni

by Pesatu Reporter
January 31, 2023
0

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki amesema kipindi cha mwezi July...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In