• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Sunday, June 26, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

NBC,NSSF kuendelea kushirikiana

Patricia Richard by Patricia Richard
September 22, 2018
in BENKI
0
Mkurugenzi Mtendaji wa NBC,Theobald Sabi.(Wa kwanza kushoto)

Mkurugenzi Mtendaji wa NBC,Theobald Sabi.(Wa kwanza kushoto)

Share on FacebookShare on Twitter

Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NBC Theobald Sabi amesema benki hiyo itaendelea kushirikiana na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ili kukuza mahusiano yaliyopo kati yao. Sabi amesema hayo wakati uongozi wa benki hiyo ulipotembelea NSSF na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, William Erio. Katika mazungumzo hayo, Sabi ameeleza kuwa NBC inajivunia kufanya kazi na shirika hilo kutokana na uendeshwaji wake kuwa wa kisasa.

ADVERTISEMENT

Akizungumzia ugeni huo, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF William Erio ametoa shukrani zake kwa uongozi mzima wa NBC ambapo ameeleza kuwa mbali na benki hiyo kuifanya taasisi hiyo kuwa mteja wake mkubwa, pia imekuwa ikitoa ushauri wa kitaalamu utakaohitajika ili kuboresha zinazotolewa na taasisi hiyo. Mkurugenzi huyo pia amewahakikishia wageni hao kuwa, mifumo ya fedha ya wanachama inaendelea kuimarika na kuwa salama huku matumizi yake yakiwa ni kwa ajili ya maendeleo ya taifa, Erio pia ameishukuru benki hiyo kwa kuendelea kutoa riba ya asilimia tano kwenye akaunti ya makusanyo kutoka kwa wanachama wa taasisi hiyo.

Mbali na NBC, imeelezwa kuwa benki nyingine ambazo zimetembelea NSSF hivi karibuni ni pamoja na UBA, CRDB na NMB ambazo zote zimekutana na shirika hilo kwa ajili ya kupanga mikakati ya namna wanavyoweza kuimarisha mahusiano yao kibiashara.

Tags: biasharaNBCNSSF
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post
Shirika la maendeleo ya petrol nchini TPDC limepongezwa na naibu waziri wa nishati mheshinmiwa Subira Mgalu kwa kufanya kazi kwa wakati baada ya kumaliza utoboaji wa bomba la gesi asilia. TPDC kwa kupitia kampuni tanzu ya Gasco ilipewa kazi ya kutoboa bomba hilo la gesi asilia ii kuweka tolea katika kijiji cha mwanambaya katika wilaya hiyo ya mkuranga. Bomba hilo lilitobolewa maalumu ili kuruhusu usambazaji wa gesi asilia kwa wateja mbalimbali wilayani mkuranga kwa lengo la kuvifikia viwanda na wateja wa kawaida ili kupunguza uharibifu wa mazingira hasa kutokana na kukithiri kwa matumizi ya nishati ya kuni na mkaa wilayani humo. Naye Mhandisi wa mitambo wa kampuni hiyo ya Gasco alisema utoboaji w a bomba hilo umefanywa kitaalamu na kwa umakini wa hali ya juu ilikuepuka athari mbalimbali hasa zinazotokana na harakati za binadamu na mabadiliko ya hali ya hewa.picha michuzi blog

TPDC wapongezwa

Discussion about this post

Habari Mpya

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 24, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 23, 2022

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 23, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 22, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 22, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 20, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 24, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

by Pesatu Reporter
June 23, 2022
0

Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In