Home BIASHARA CRDB yawekeza Sh. bilioni 7 KCBL benki

CRDB yawekeza Sh. bilioni 7 KCBL benki

0 comment 55 views

Benki ya CRDB imeingia Mkataba wa Makubaliano ya Uwekezaji na Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL).

CRDB imefanya uwekezaji wa kimkakati wa Shilingi bilioni 7 ndani ya KCBL.

Uwekezaji huo ndani ya KCBL, utasaidia kuiimarisha benki hiyo kwa kuongeza mtaji, kuboresha utendaji wake na kuiwezesha kutoa huduma bora kwa wateja.

Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji.

About Us

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905.

Editors' Picks

Newsletter