• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Monday, October 2, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Tamasha la tano la biashara kufanyika Zanzibar mwakani

Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Biashara na Viwanda ipo katika mchakato wa kuandaa tamasha kubwa la tano la biashara visiwani humo linalotarajiwa kufanyika tarehe 02-15 Januari 2019.

Patricia Richard by Patricia Richard
October 31, 2018
in BIASHARA
0
Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar,Amina Salum Ali.

Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar,Amina Salum Ali.

Share on FacebookShare on Twitter

Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar, Amina Salum Ali amesema serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Biashara na Viwanda ipo katika mchakato wa kuandaa tamasha kubwa la tano la biashara visiwani humo linalotarajiwa kufanyika tarehe 02-15 Januari 2019. Waziri Amina amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari na kueleza kuwa, tamasha hilo linalenga kuwaunganisha wazalishaji, wafanyabiashara,  wamiliki wa viwanda  na kuonyesha matunda ya kazi zao wanazofanya kwa ushirikiano na kuitangaza Zanzibar kibiashara, kiutalii na vilevile kiuchumi.

Waziri huyo amesema tamasha hilo lina lengo la kuadhimisha sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar ambapo taasisi mbalimbali zitapata fursa ya kutangaza biashara na  huduma wanazotoa huku  tamasha hilo pia likitengeneza fursa kwa vijana ili waweze kuonyesha vipaji vyao vya ubunifu na mambo ya asili na kuunda kamati ambayo itaweza kuwatambua wabunifu.

ADVERTISEMENT

Kwa mujibu wa maelezo ya Waziri Amina, dira ya tamasha hilo ni kufanya visiwa vya Zanzibar kuwa kituo cha kibiashara, masoko na viwanda vinavyozalisha kwa wingi ili kukuza uchumi endelevu kufikia mwaka 2020.

“Tuacheni kupenda vya wenzetu na kudharau vyetu, tuvithamini vyetu kwani navyo vina hadhi kubwa vinavyozalishwa kwetu ikiwemo sukari ya mahonda, juisi na hata mboga mboga”. Amesema Waziri Amina.

Tags: Amina Salum Alibiasharaubunifuuchumiviwandazanzibar
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post
Mwenyekiti wa IPP, mfanyabishara na mjasiriamali, Dk. Reginald Mengi.

Mengi azindua kampuni ya kutengeneza simu

Discussion about this post

Habari Mpya

Waziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki.

Wadau ufugaji nyuki watakiwa kuchangamkia fursa

September 14, 2023

Exim kulinda maslahi watumiaji huduma za bima

September 26, 2023
Naibu Waziri wa Fedha Hamad Hassan Chande.

Tanzania yapiga hatua utakatishaji fedha

September 12, 2023
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Picha| Ikulu

Tutawaunganisha wakulima na soko: Rais Samia

September 11, 2023

Mbaazi yaleta neema kwa wakulima 2023

September 7, 2023

Bei za mafuta zapanda tena Tz

September 6, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Waziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki.

Wadau ufugaji nyuki watakiwa kuchangamkia fursa

by Pesatu Reporter
September 14, 2023
0

Tanzania ni nchi ya pili kwa uzalishaji wa asali barani Afrika na inashika nafasi ya 14 dunia. Ethiopia, ndio nchi...

Exim kulinda maslahi watumiaji huduma za bima

by Pesatu Reporter
September 26, 2023
0

Benki ya Exim imezindua ushirikiano wa kimkakati na Mamlaka ya Udhibiti wa Bima Tanzania (TIRA) pamoja na kufanya mafunzo ya...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In