• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Thursday, March 30, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Tamida yatoa neno kwa serikali

Patricia Richard by Patricia Richard
July 27, 2018
in BIASHARA
0
Wachimbaji wadogo wadogo wa eneo la Msege kijiji cha Msege wilayani Tarime mkoani Mara wakiwa wanasafisha dhahabu bila kuvaa mipira (gloves) mikono wakati wanatumia kemikali ya Zebaki katia kusafisha madini yao, huku wakitambua kuwa kemikali hiyo  ni hatari kwa afya zao. Picha na Florence Focus

Wachimbaji wadogo wadogo wa eneo la Msege kijiji cha Msege wilayani Tarime mkoani Mara wakiwa wanasafisha dhahabu bila kuvaa mipira (gloves) mikono wakati wanatumia kemikali ya Zebaki katia kusafisha madini yao, huku wakitambua kuwa kemikali hiyo ni hatari kwa afya zao. Picha na Florence Focus

Share on FacebookShare on Twitter

Chama cha wanunuzi na wauzaji wa madini Tanzania (Tamida) kimetoa wito kwa serikali kutoa elimu kwa wachimbaji wadogo wa madini ya tanzanite juu ya matumizi ya teknolojia ya kisasa katika kuongeza uzalishaji. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tamida  Sammy Mollel huku akiongeza kuwa bila kufanya hayo mrabaha wa serikali utaendelea kushuka licha ya serikali kujenga ukuta mkubwa wa kuzuia utoroshwaji wa madini katika mgodi wa tanzanite Mirerani.

Katika machimbo ya Tanzania kwa sasa kuna migodi 570 iliyopewa  leseni na kati ya hiyo ni migodi 216 pekee ndio imekuwa ikifanya kazi kwa muda wa miezi sita huku idadi ya wafanyakazi wa migodi hiyo ikiwa ni zaidi ya 5000.

Akizungumzia kuhusu uzalishaji, Mollel amesema kumekuwepo na kushuka kwa kazi kwa mrabaha wa serikali kutoka Sh. 444 milioni hadi Sh. 40 milioni kutokana na migodi mingi kusimamisha shughuli zake za uchimbaji madini.

ADVERTISEMENT

Naye Mwenyekiti wa Chama cha wachimaji Mkoani Manyara, Sadick Mnenei amesema kuwa gharama za uchimbaji na mazingira ya kuchimba tanzanite yameendelea kuwa magumu kila kukicha ikiwa ni matokeo ya kutotumia teknolojia bora ya uchimbaji sambamba na kuweka mazingira safi kwa wachimbaji wadogo wadogo.

“Migodi mingi imekwenda chini zaidi ya kilomita moja na wengi hawajapata madini, wametumia gharama kubwa baadhi wameuza nyumba wengine wanafilisiwa na mabenki sasa ili kuokoa hali hii lazima serikali ifanye upya utafiti wa madini Mirerani” Ameeleza Mnenei.

Tags: madiniMireraniTamidatanzanite
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post

Kilimo kitakuza biashara-Samia

Discussion about this post

Habari Mpya

Serikali, Benki ya Dunia wajadili ushiriki Sekta binafsi

March 30, 2023
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Msiwabanie vijana wajasiriamali: Majaliwa

March 28, 2023
Lusaka-Zambia. Picha|Mtandao

Watanzania watakiwa kuchangamkia fursa Zambia

March 27, 2023
Waziri  wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa, Adolf Mkenda.

Waziri wa Elimu azungumza na Benki ya Dunia

March 27, 2023

Bilioni 647.5 kuitoa Kagera gizani

March 17, 2023
Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba.

44.4bn kutumika matumizi ya kawaida na maendeleo

March 13, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Serikali, Benki ya Dunia wajadili ushiriki Sekta binafsi

by Pesatu Reporter
March 30, 2023
0

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru amesema Serikali inafanya majadiliano ya kimkakati na Benki ya Dunia...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Msiwabanie vijana wajasiriamali: Majaliwa

by Pesatu Reporter
March 28, 2023
0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza viongozi wa Mkoa wa Simiyu wasiwabane wajasiriamali, wawaelimishe na kuwapa miongozo ili wajiendeleze kiuchumi. Majaliwa...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In