• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Sunday, June 26, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Tanzania yasaini mikataba Sh bn 307.9 kuboresha huduma

Pesatu Reporter by Pesatu Reporter
February 16, 2021
in BIASHARA, UWEKEZAJI
0
Share on FacebookShare on Twitter

Serikali ya Tanzania imetia saini mikataba sita yenye thamani ya Sh bilioni 307.9 iliyofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) kwa ajili ya kuboresha sekta mbalimbali ikiwemo nishati, huduma za afya ya mimea, mazingira ya biashara na ushirikiano wa kitaalamu.

Akizungumza wakati wa utiaji saini wa mikataba hiyo leo Februari 16, jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James, amesema Serikali imesaini mikataba hiyo kupitia Mpango wa Ushirikiano wa 11 chini ya Mfuko wa Maendeleo wa Ulaya (NDF).

ADVERTISEMENT

Ameitaja miradi hiyo kuwa ni wa kuboresha sekta ya nishati wenye thamani ya Sh bilioni 96.7, mradi wa matumizi endelevu ya nishati ya kupikia wenye thamani ya Sh bilioni 82.8, mradi wa kusaidia mnyororo wa thamani katika ufugaji nyuki wenye thamani ya Sh bilioni 27.6.

Ametaja miradi mingine kuwa ni wa kuboresha huduma ya afya ya mimea nchini ili kuongeza usalama wa chakula wenye thamani ya Sh bilioni 27.6, mradi wa kusaidia kuboresha mazingira ya biashara na ukuaji wa ubunifu wenye thamani ya Sh bilioni 63na mradi wa kusaidia kuboresha mazingira ya biashara, ukuaji na ubunifu wenye thamani ya Sh bilioni 63.5.

“Kwa niaba ya serikali napenda kuushukuru sana Umoja wa Ulaya kwa misaada yake hii kwa Tanzania kwani imekuja wakati muafaka ambapo serikali inaweka mazingira wezeshi  ya kukuza viwanda kwa ajili ya ukuaji wa uchumi wetu,”amesema Katibu Mkuu huyo.

Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini, Manfred Fanti, amesema lengo lao ni kuhakikisha bidhaa za hapa nchini zinapata soko Ulaya huku akisisitiza umuhimu wa bidhaa hizo kuongezwa thamani.

Pesatu Reporter

Pesatu Reporter

Next Post

Sekta ya madini Tanzania inakuwa kwa asilimia 17

Discussion about this post

Habari Mpya

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 24, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 23, 2022

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 23, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 22, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 22, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 20, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 24, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

by Pesatu Reporter
June 23, 2022
0

Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In