• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Tuesday, June 28, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Rais Mwinyi ataka orodha ya wawekezaji Zanzibar

Dk Mwinyi aipa maelekezo Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar

Pesatu Reporter by Pesatu Reporter
December 18, 2020
in UWEKEZAJI
0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza kwa makini  Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar ZIPA Salum Khamis Nassor wakati alipokuwa akitoa maelezo kuhusu Mamlaka hiyo. Picha|Ikulu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar ZIPA Salum Khamis Nassor wakati alipokuwa akitoa maelezo kuhusu Mamlaka hiyo. Picha|Ikulu Zanzibar

Share on FacebookShare on Twitter

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameitaka Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) kumpatia orodha ya wawekezaji visiwani humo.

Dk. Mwinyi alitoa maelekezo mbalimbali kwa mamlaka hiyo ili kuhakikisha inafanya kazi kwa ufasini na kuvutia wawekezaji.

Ameutaka uongozi wa ZIPA kumpatia majina ya wawekezaji wote wenye nia ya kuwekeza Zanzibar pamoja na thamani ya miradi wanayotaka kuwekeza na changamoto wanazokutana nazo katika uwekezaji ili watafute namna ya kuzitatua.

Raisi Mwinyi alitoa maelekezo hayo wakati alipofanya mazunguzo na Uongozi wa ZIPA katika Ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

Dk Mwinyi, ameiweka wizara ya Uchumi na Uwekezaji chini ya ofisi ya Raisi ili kuhakikisha uwekezaji unakua visiwani humo.

Aliitaka Mamlaka ya uwekezaji kubadili mfumo wa ufanyaji biashara kama wanataka kukuza uwekezaji na kufutia watalii.

ADVERTISEMENT

Pia aliitaka ZIPA kushughulikia urasimu ambao unasumbua wawekezaji na kuwafanya kuacha ama kusimamisha miradi mbalimbali waliokuwa wakiifanya.

 

Pesatu Reporter

Pesatu Reporter

Next Post
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi Ummy Mwalimu. Picha |Mtandao

NEMC isiwe kikwazo cha uwekezaji nchini :Waziri Ummy

Discussion about this post

Habari Mpya

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 27, 2022

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 24, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 23, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 22, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 22, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 20, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

by Jensen Kato
June 27, 2022
0

Kilimo biashara kinaendelea kukua barani Afrika na muda umefika kwa watu hususani vijana kuchagamkia fursa mbalimbali zinazotokana na kilimo. Watu...

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 24, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In