• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Thursday, March 30, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Vodacom Foundation yatoa msaada wa vifaa vya kuokoa maisha ya watoto njiti

Athanas Lupatu by Athanas Lupatu
November 27, 2018
in Uncategorized
0
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano wa kampuni ya Vodacom Plc Tanzania Bi Jacquiline Materu akikabidhi mashine na vifaa vya hospitali ya kambi ya Nyarugusu kwa Katibu tawala wa Wilaya ya Kasulu, Titus Luguha katika kambi ya Nyarugusu, mkoani Kigoma mwishoni mwa wiki iliyopita. Vifaa hivyo vyenye thamani ya TZS milioni 25 vimetolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation kwa hospitali hiyo ili kuongeza juhudi za kuhakikisha watoto wanaozaliwa njiti katika kambi hiyo wanaishi. Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa taasisi ya Doris Mollel, Bi Doris Mollel na wa nne kushoto ni Mkuu wa kambi hiyo Bw. Francis Chokola.

Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano wa kampuni ya Vodacom Plc Tanzania Bi Jacquiline Materu akikabidhi mashine na vifaa vya hospitali ya kambi ya Nyarugusu kwa Katibu tawala wa Wilaya ya Kasulu, Titus Luguha katika kambi ya Nyarugusu, mkoani Kigoma mwishoni mwa wiki iliyopita. Vifaa hivyo vyenye thamani ya TZS milioni 25 vimetolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation kwa hospitali hiyo ili kuongeza juhudi za kuhakikisha watoto wanaozaliwa njiti katika kambi hiyo wanaishi. Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa taasisi ya Doris Mollel, Bi Doris Mollel na wa nne kushoto ni Mkuu wa kambi hiyo Bw. Francis Chokola.

Share on FacebookShare on Twitter

Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation wakishirikiana na Doris Mollel Foundation leo wamechangia vifaa tiba vyenye thamani ya shilling milioni 25 katika hospitali iliyopo kwenye kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu mkoani Kigoma ili kuongeza juhudi za kuhakikisha watoto wanaozaliwa njiti katika kambi hiyo wanaishi. Hospitali hiyo hutoa huduma kwa Wakimbizi waishio kambini hapo na wale wa kambi jirani ya Mtendeli lakini pia wanajamii wanaoishi maeneo jirani na kambi hizo.

Takwimu zinaonyesha kwamba kila mwaka watoto millioni 15 huzaliwa kabla ya wakati yaani njiti kusini mwa jangwa la Sahara ikiwemo Tanzania ambapo watoto milioni 1 hufariki kwa kukosa huduma muhimu. Vodacom Tanzania Foundation imekuwa mstari wa mbele kuchangia vifaa tiba katika vituo vya afya na hospitali hapa nchini ilikuokoa maisha ya watoto njiti.

“Watoto njiti wana nafasi kubwa yakukua na kuwa na afya nzuri bila ulemavu endapo watapata msaada wa vifaa na usimamizi wa afya kuzingatiwa na ndio maana sisi kama Vodacom Tanzania Foundation tunafuraha sana kuwa sehemu ya wanaochangia kuhakikisha watoto njiti nchini wanaishi” alisema Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mahusiano Bi Jacquiline Materu huku akiongeza kwamba Vodacom Tanzania Foundation imejikita katika kuboreshahuduma za afya na elimu kwa Wanawake pamoja na watoto nchini Tanzania.

Katibu tawala wa Wilaya ya Kasulu, Titus Luguha, akimfunika moja kati ya wakimbizi waliojifungua watoto njiti katika kambi ya Nyarugusu misaada iliyotolewa na taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kambi hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita. Nyuma yake ni Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi Jacquiline Materu, Mkurugenzi wa taasisi ya Doris Mollel, Bi Doris Mollel na wageni na wauguzi wa hospitali hiyo.

Akipokea vifaa hivyo kwa niaba ya serikali mwakilishi wa Katibu mkuu wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee naWatoto (anayeshughulikia Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto) Dr John Jingu, Katibu Tawala wa Wilaya ya Kasulu Titus Mguha alizishukuru taasisi za Vodacom Tanzania Foundation na Doris Mollel kwa kuunga juhudi za serikali za kuokoa maisha ya watoto “Msaada huu umekuja ndani ya muda muafaka wakati ambapo serikali imezindua kampeni ya Jiongeze Tuwavushe salama kuhamasisha watu na Taasisi mbalimbali kupigania kupunguza vifo vya akina mama na watoto. Ninafuraha kubwa kuona muungano huu wa Vodacom Tanzania Foundation na Doris Mollel Foundation ukifanya kazi kuboresha afya ya watoto na mama katika kambi hii,”alisema.

Kwa upande wake, mratibu wa afya katika kambi ya Nyarugusu Dr Athumani Juma alisema hospitali hiyo imekuwa na changamoto yakusaidia maisha ya watoto njiti wanaozaliwa hapo hospitalini.

ADVERTISEMENT
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi Jacquiline Materu akikabidhi misaada kutoka Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa Bi Beatrice, moja kati ya wakimbizi katika kambi ya Nyarugusu mkoani Kigoma mwishoni mwa wiki iliyopita. Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation imechangia vifaa hivyo vyenye thamani ya shilingi milioni 25 kwa hospitali hiyo ili kuongeza juhudi za kuhakikisha watoto wanaozaliwa njiti katika kambi hiyo wanaishi.

“Tumefanikiwa kukarabati wodi ya watoto njiti lakini tulikuwa na changamoto ya vifaa hivyo tunashukuru sana kwa mchango huu wa vifaa vya kuokoa maisha yawatoto njiti wanaozaliwa hospitalini hapa na tunaahidi uangalizi wa karibu”

Vifaa vilivyotolewa ni pamoja na vifaa vya oksijeni (Oxygen concentrator) ambavyo vitasaidia

Watoto njiti kupumua, thermometers 10, 4 weighing scales for infants, 40 branded bed sheets, baby warmer, 3 suction machines, ambu bag with facemasks for infants, 1000 feeding tubes, phototherapy machine, na vitanda vitatu vya watoto.

Tags: Dorris MollelDr. Athumani JumaDr. John JinguJacquiline MateruKigomaNyarugusuVodacom Foundation Tanzania
Athanas Lupatu

Athanas Lupatu

Next Post
Kongamano uwezeshaji kufanyika Juni 15

Serikali kumaliza changamoto ya majisafi nchini

Discussion about this post

Habari Mpya

Serikali, Benki ya Dunia wajadili ushiriki Sekta binafsi

March 30, 2023
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Msiwabanie vijana wajasiriamali: Majaliwa

March 28, 2023
Lusaka-Zambia. Picha|Mtandao

Watanzania watakiwa kuchangamkia fursa Zambia

March 27, 2023
Waziri  wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa, Adolf Mkenda.

Waziri wa Elimu azungumza na Benki ya Dunia

March 27, 2023

Bilioni 647.5 kuitoa Kagera gizani

March 17, 2023
Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba.

44.4bn kutumika matumizi ya kawaida na maendeleo

March 13, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Serikali, Benki ya Dunia wajadili ushiriki Sekta binafsi

by Pesatu Reporter
March 30, 2023
0

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru amesema Serikali inafanya majadiliano ya kimkakati na Benki ya Dunia...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Msiwabanie vijana wajasiriamali: Majaliwa

by Pesatu Reporter
March 28, 2023
0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza viongozi wa Mkoa wa Simiyu wasiwabane wajasiriamali, wawaelimishe na kuwapa miongozo ili wajiendeleze kiuchumi. Majaliwa...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In