• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Sunday, September 24, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Vodacom Tanzania Foundation yakabidhi vifaa vya kulinda maisha ya watoto njiti

Athanas Lupatu by Athanas Lupatu
November 15, 2018
in Uncategorized
0
Waziri wa Madini Angellah Kairuki akiuliza swali kuhusu kitanda cha kuwaongezea joto Watoto njiti, kitanda hiki ni mojawapo kati ya vifaa tiba vyenye thamani Sh 25 m vilivyotolewa na taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation vilivyokabidhiwa kwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma ili kusaidia kupunguza vifo vya Watoto Njiti. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Doris Mollel, Doris Mollel na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation Rosalynn Mworia.

Waziri wa Madini Angellah Kairuki akiuliza swali kuhusu kitanda cha kuwaongezea joto Watoto njiti, kitanda hiki ni mojawapo kati ya vifaa tiba vyenye thamani Sh 25 m vilivyotolewa na taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation vilivyokabidhiwa kwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma ili kusaidia kupunguza vifo vya Watoto Njiti. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Doris Mollel, Doris Mollel na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation Rosalynn Mworia.

Share on FacebookShare on Twitter

Katika kuunga mkono lengo la serikali la kupunguza vifo vya uzazi na watoto njiti kwa  kupunguza uwiano wa vifo vya uzazi hadi kufikia watoto 292 kati ya  watoto 100,000 kwa vizazi hai kutoka watoto 556 kati ya 100,000 ifikapo mwaka ….., Vodacom Tanzania Foundation ikishirikiana na Doris Mollel Foundation imetoa mchango wenye thamani ya TZS 25 milioni kwa Hospitali ya Rufaa ya Dodoma ili kulinda maisha ya watoto njiti.

 

Tukio hili lilishuhudiwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Ummy Mwalimu, Waziri wa Madini mheshimiwa Angellah Kairuki, na Mheshimiwa Antony Mavunde Naibu Waziri  Ofisi ya Waziri Mkuu anayesimamia Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na walemavu.

 

Msaada wetu unajumuisha vifaa muhimu vya kuokoa maisha kama vile vifaa vya oksijeni (Oxygen concentrator) ambavyo vitasaidia watoto njiti kupumua, thermometers 10, 4 weighing scales for infants, 40 branded bedsheets, baby warmer, 3 suction machines, ambu bag with facemasks for infants, 1000 feeding tubes, phototheraphy machine, na vitanda vitatu vya watoto.  Mchango kama huo pia utawasilishwa katika Kambi ya Wakimbizi iliyoko Nyarugusu Mkoani Kigoma.

Waziri wa Madini Angellah Kairuki (kulia) akizungumza wakati makabidhiano ya mashine ya kusaidia kupumua kwa Watoto njiti ilivyotolewa na taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma ili kusaidia kupunguza vifo vya Watoto Njiti. Kushoto ni Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation Rosalynn Mworia, Mkurugenzi wa Taasisi ya Doris Mollel, Doris Mollel (kati).

Akizungumza wakati wa zoezi hilo, Mkurugenzi wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano  wa  Vodacom, Bi Rosalynn Mworia alisema, “Vodacom imeazimia kupunguza idadi ya vifo vinavyotokea wakati wa kujifungua pamoja na vifo vya watoto wachanga na inaunga mkono jitihada za serikali za kuboresha utoaji wa huduma za afya. Tunatarajia kwamba mchango wetu utaenda mbali katika safari nzima ya kuokoa maisha mengi zaidi ya wanawake na watoto. ”

ADVERTISEMENT

Kwa upande wake, Mheshimiwa Ummy Mwalimu alisema, “Mpango huu unakuja wakati muafaka ambapo serikali imeanza kampeni ya kupunguza idadi ya vifo vya akina mama wakati wa kujifungua na watoto wachanga hapa nchini. Tunapenda kuwashukuru Vodacom Foundation na Doris Mollel Foundation katika kusaidia nchi kukabiliana na changamoto hizi. Vifaa hivi cheza nafasi muhimu katika kukabiliana na matatizo ambayo watoto njiti hukutana nayo hasa katika wiki nne za kwanza za maisha yao.”

Afisa Muuguzi Msaidizi kutoka Kitengo cha kuhudumia Watoto Njiti Constancia Mankupe akielezea kwa vitendo namna mashine ya kusaidia kupumua kwa Watoto njiti inavyofanya kazi, mashine hii ni mojawapo kati ya vifaa tiba vyenye thamani Sh 25 m vilivyotolewa na taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation vilivyokabidhiwa kwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma ili kusaidia kupunguza vifo vya Watoto Njiti. Kulia kwake ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayesimamia Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na walemavu Anthony Mavunde na Mkurugenzi wa Taasisi ya Doris Mollel, Doris Mollel.

Alitoa wito kwa wafanyakazi wa afya kuhakikisha matumizi sahihi ya vifaa vya kuokoa maisha ya watoto njiti akisema, “Ninawasihi wafanyakazi wa afya katika Hospitali ya Rufaa ya Dodoma kutumia kwa usahihi vifaa hivi. Msiruhusu mashine zikusanye vumbi, mashine hizi ziko hapa kwa ajili ya kuokoa maisha ya Watoto wetu. ”

 

Pia alikuwepo Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Binilith Mahenge ambaye alisema kupambana na vifo vya watoto wachanga nchini Tanzania ni suala mtambuka, maana ni wajibu wa kila mmoja wetu kwa pamoja. “Mchango huu ni ishara kubwa ya ushirikiano kwa kampeni inayoendelea, Jiongeze – Tuwavushe Salama na inalingana na kiapo nilichochukua, pamoja na Wakuu wengine wa Mikoa, ambapo tuliahidi kufanya kazi ya kupunguza vifo vya uzazi na watoto wachanga nchini Tanzania  kwa mujibu wa mkakati husika wa serikali chini ya Wizara ya Afya. “Alisema.

 

Kwa upande wao, Mheshimiwa Angela Kairuki, na Mheshimiwa Antony Mavunde, waliihimiza Vodacom Tanzania Foundation kuendelea na jitihada za kusaidia wanawake na wasichana nchini kote kuboresha afya zao, kupata elimu bora na kubuni miradi mipya.

Tags: Angela KairukiAnthony MavundeDoris Mollel FoundationHospital ya Rufaa ya DodomaRosalyn MworiaUmmy MwalimuVodacom Foundation Tanzania
Athanas Lupatu

Athanas Lupatu

Next Post

AfDB yaimwagia Tanzania mabilioni kutekeleza miradi ya maendeleo

Discussion about this post

Habari Mpya

Waziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki.

Wadau ufugaji nyuki watakiwa kuchangamkia fursa

September 14, 2023

Benki ya Exim yajikita uwazi shughuli za bima

September 14, 2023
Naibu Waziri wa Fedha Hamad Hassan Chande.

Tanzania yapiga hatua utakatishaji fedha

September 12, 2023
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Picha| Ikulu

Tutawaunganisha wakulima na soko: Rais Samia

September 11, 2023

Mbaazi yaleta neema kwa wakulima 2023

September 7, 2023

Bei za mafuta zapanda tena Tz

September 6, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Waziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki.

Wadau ufugaji nyuki watakiwa kuchangamkia fursa

by Pesatu Reporter
September 14, 2023
0

Tanzania ni nchi ya pili kwa uzalishaji wa asali barani Afrika na inashika nafasi ya 14 dunia. Ethiopia, ndio nchi...

Benki ya Exim yajikita uwazi shughuli za bima

by Pesatu Reporter
September 14, 2023
0

Benki ya Exim imezindua ushirikiano wa kimkakati na Mamlaka ya Udhibiti wa Bima Tanzania (TIRA) pamoja na kufanya mafunzo ya...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In