• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Monday, January 30, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Wakulima walilia mikopo

Wakulima hao wanaojishugulisha na kilimo cha mboga na matunda wamedai wanakumbwa na changamoto kubwa ya kukosa fedha na elimu ya fedha ambayo ingewasaidia kutimiza malengo waliyojiwekea.

Patricia Richard by Patricia Richard
November 15, 2018
in MIKOPO
0
Share on FacebookShare on Twitter

Wakulima wa mboga kutoka Bonde la Ilolo jijini Mbeya wametoa wito kwa Halmashauri kuwawezesha kwa kuwapatia mikopo ili waweze kuongeza tija ya uzalishaji na kupata soko la uhakika kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe (SIA). Wakulima hao wanaojishugulisha na kilimo cha mboga na matunda wamedai wanakumbwa na changamoto kubwa ya kukosa fedha na elimu ya fedha ambayo ingewasaidia kutimiza malengo waliyojiwekea.

Mbali na hayo, wakulima hao pia wamesema wanahitaji vifaa maalum ili kusukuma maji kutoka kwenye ardhi mpaka kwenye mashamba yao. Wakulima hao wameeleza kuwa tatizo hilo la uhaba wa maji likipatiwa ufumbuzi, watakuwa na uwezo wa kuongeza uzalishaji wao tofauti na hali ilivyo sasa.

ADVERTISEMENT

“Kilimo cha mboga kina tija na kimesaidia kuendesha maisha yangu ya kila siku. Tukisaidiwa mitaji, elimu na miundombinu ya maji kwenye bonde hili naamini tutachangia kwa kiasi kikubwa pato la taifa”. Ameeleza mmoja wa wakulima katika bonde hilo.

Kwa upande wake, Ofisa habari wa jiji la Mbeya, John Kilua amewataka wakulima hao kujiunga katika vikundi na kujisajili ili vitambuliwe kwa mujibu wa Sheria na kuweza kupatiwa mikopo itakayowasaidia kuongeza uzalishaji.

Tags: elimumbeyaPato la taifasokouzalishajiwakulima
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post
Waziri wa Madini Angellah Kairuki akiuliza swali kuhusu kitanda cha kuwaongezea joto Watoto njiti, kitanda hiki ni mojawapo kati ya vifaa tiba vyenye thamani Sh 25 m vilivyotolewa na taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation vilivyokabidhiwa kwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma ili kusaidia kupunguza vifo vya Watoto Njiti. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Doris Mollel, Doris Mollel na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation Rosalynn Mworia.

Vodacom Tanzania Foundation yakabidhi vifaa vya kulinda maisha ya watoto njiti

Discussion about this post

Habari Mpya

Mohammed Dewji (Mo Dewji). Picha|Mtandao

Watieni nguvu wawekezaji: Makalla

January 30, 2023

Vijana Tanzania kupatiwa eka 10 kulima

January 30, 2023

Poland kuisaidia Tanzania kuweka mifumo ya kodi kidigitali

January 26, 2023

Kamati ya bunge yahimiza uwekezaji maeneo ya hifadhi

January 21, 2023

Serikali kuanzisha mnada wa chai

January 20, 2023

Tumieni bandari ya Dar es Salaam: Makalla

January 19, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Mohammed Dewji (Mo Dewji). Picha|Mtandao

Watieni nguvu wawekezaji: Makalla

by Pesatu Reporter
January 30, 2023
0

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amewasihi mashabiki wa Simba wamtie nguvu Mwekezaji Mohammed Dewji (Mo Dewji) kwa...

Vijana Tanzania kupatiwa eka 10 kulima

by Pesatu Reporter
January 30, 2023
0

Rais Samia amesema Serikali imetenga hadi eka 10 kwa kila kijana mwenye sifa za kufanya kilimo nchini Tanzania ili kuiwezesha...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In