• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Wednesday, November 29, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

SGR kupita kwenye mahandaki

Patricia Richard by Patricia Richard
September 7, 2018
in MIUNDOMBINU
0
Share on FacebookShare on Twitter

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye ameeleza Bunge kuwa reli mpya ya kisasa maarufu kama Standard Gauge itajengwa kwenye mahandaki na kutakuwa na madaraja yenye mihimili iliyoinuliwa juu zaidi ili kuepuka changamoto ya mafuriko ya mara kwa mara katika eneo la Kidete-Godegode, Gulwe na Msagali. Mahandaki hayo manne yatakuwa na umbali wa kilomita 2.75 na madaraja yenye uwazi wa mita 400.

ADVERTISEMENT

Nditiye ametoa ufafanuzi huo wakati akijibu swali la Mbunge wa Mpwapwa, George Lubuleje aliyehoji serikali ina mpango gani kujenga SGR kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma. Naibu Waziri huyo ameeleza Bunge kuwa, ili kuepuka uharibifu, reli ya kisasa haitokuwa jirani na mito bali itapitia vilimani mbali na kingo za mito ya Mkondoa na Chinyasungwi.

Vilevile, Nditiye amesema kwa kushirikiana na serikali ya Japan kupitia shirika la JICA, wamekamilisha upembuzi yakinifu kuhusu upatikanaji wa suluhisho la kudumu katika eneo la Kidete-Godegode, Gulwe na Msagali ambalo hupatwa na mafuriko mara kwa mara. Kiongozi huyo pia amelifahamisha Bunge kuwa, mazungumzo yanaendelea kati ya Tanzania na JapanĀ ili kupata fedha zitakazotumika kutatua tatizo hilo.

Tags: bungeJapanJICASGR
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora,George Mkuchika.

Serikali yatumia bilioni 32 kupunguza umaskini

Discussion about this post

Habari Mpya

Tanzania yaikaribisha kampuni za China kuwekeza Sekta ya Nishati

November 25, 2023

Afrika tujitegemee kifedha mabadiliko tabia ya nchi: Rais Samia

November 24, 2023
Wanafunzi wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Arusha (NCT).

Maandiko ya kisasa yatavutia utalii: Naibu Waziri Kitandula

November 23, 2023
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk.

Biashara baina ya Tanzania, UAE Dola bilioni 3.2

November 23, 2023

Kamati ya Bunge Nishati na Madini yajinoa matumizi gesi asilia

November 22, 2023

Uvunaji wa samaki wapaa kwa asilimia 114.3 mbinga

November 22, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Tanzania yaikaribisha kampuni za China kuwekeza Sekta ya Nishati

by Pesatu Reporter
November 25, 2023
0

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania,...

Afrika tujitegemee kifedha mabadiliko tabia ya nchi: Rais Samia

by Pesatu Reporter
November 24, 2023
0

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ni muda muafaka kwa Afrika kujitegemea katika fedha za kukabiliana na mabadiliko ya...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In