• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Monday, January 30, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Kukatika kwa umeme viwandani kudhibitiwa

Nishati ya umeme ni muhimu kwa ajili ya uzalishaji viwandani hivyo serikali itahakikisha tatizo la umeme kukatika kwenye viwanda linadhibitiwa kwani hali hiyo sio salama viwandani.

Patricia Richard by Patricia Richard
November 1, 2018
in NISHATI
0
Waziri wa Nishati,Dk Medard Kalemani.

Waziri wa Nishati,Dk Medard Kalemani.

Share on FacebookShare on Twitter

Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani amesema nishati ya umeme ni muhimu kwa ajili ya uzalishaji viwandani hivyo serikali itahakikisha tatizo la umeme kukatika kwenye viwanda linadhibitiwa kwani hali hiyo sio salama viwandani. Dk. Kalemani amesema pamoja na changamoto hiyo, anawataka wawekezaji kuendelea kujenga viwanda kwani kuna umeme wa kutosha, ikiwa hivi sasa kuna akiba ya umeme wa ziada wa megawati 148. Waziri huyo amesema hayo mjini Kibaha alipotembelea maonyesho ya viwanda yanayofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba ambapo ametumia fursa hiyo na kulielekeza Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) kutangaza vituo vya gesi asilia ili wananchi wafahamu zaidi kuhusu gesi hiyo.

 “Sera yetu kwa sasa tunataka sisi tutangulie na viwanda ndiyo viufuate na siyo viwanda kuwafuata kwani kufanya hivyo tutakuwa tumewaondolea kero ya kufuatilia masuala ya umeme. Ndio maana tunajenga miradi mikubwa ya uzalishaji umeme kama ule wa Rufiji Hydro Power unaotokana na maji utakaozalisha megawati 2,100 na Rumakali utakaozalisha megawati 358 na ule wa gesi wa Kinyerezi kuhakikisha viwanda havikwami. Nimetembelea na kukagua mabanda na nimeona mahitaji na kati ya mabanda 17 ambayo ni ya viwanda wanasema umeme siyo tatizo licha ya sehemu kama mbili wamelalamika kuwa umeme kwao ni changamoto”. Amesema Dk. Kalemani.

Kwa upande wake, Mkuu wa wilaya ya Kibaha ,Assumpter Mshama amesema wataanisha maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya viwanda ili huduma hiyo ipelekwe kabla ya ujenzi wa viwanda kuanza na kuongeza kuwa, wilaya ya Kibaha ina viwanda vingi hivyo uwepo wa nishati ya umeme wa uhakika ni muhimu ili kuondokana na changamoto zilizopo.

ADVERTISEMENT
Tags: Dk. Medard KalemaniGesi AsiliaTPDCumemeuzalishajiviwanda
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post
Wazalishaji maziwa soko nje nje

TADB kuhamasisha uzalishaji maziwa

Discussion about this post

Habari Mpya

Poland kuisaidia Tanzania kuweka mifumo ya kodi kidigitali

January 26, 2023

Kamati ya bunge yahimiza uwekezaji maeneo ya hifadhi

January 21, 2023

Serikali kuanzisha mnada wa chai

January 20, 2023

Tumieni bandari ya Dar es Salaam: Makalla

January 19, 2023
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Jukwaa la Uchumi Duniani.

Sekta ya kilimo kukua kwa 10% 2030: Rais Samia

January 19, 2023

Ndege tano kuwasili mwaka huu

January 17, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Poland kuisaidia Tanzania kuweka mifumo ya kodi kidigitali

by Pesatu Reporter
January 26, 2023
0

Poland imeahidi kuisadia Tanzania kuimarisha mifumo ya kodi kwa njia ya kidigitali ili kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa mapato ya...

Kamati ya bunge yahimiza uwekezaji maeneo ya hifadhi

by Pesatu Reporter
January 21, 2023
0

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeishauri Wizara ya Maliasili na Utalii iendelee kuzifanyia maboresho kanuni...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In