• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Tuesday, June 28, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Makamba atoa neno mkutano wa mafuta,gesi

Patricia Richard by Patricia Richard
September 25, 2018
in NISHATI
0
Waziri wa nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba akizungumza katika mkutano wa wadau wa mafuta na gesi.

Waziri wa nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba akizungumza katika mkutano wa wadau wa mafuta na gesi.

Share on FacebookShare on Twitter

Waziri wa nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba ili sekta ya mafuta na gesi iweze kufanikiwa, serikali inapaswa kutambua gharama za miradi  na kuweza kukokotoa faida ya rasilimali hizo kwa manufaa ya taifa. Makamba ambaye alifungua mkutano wa wadau wa mafuta na gesi ikiwa alimwakilisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amedai kuwa, uwezo huo ndio utakaoweka wazi faida inayoweza kupatikana na kunufaisha taifa.

Makamba amefafanua kuwa hiyo inatokana na uvunaji wa rasilimali hizo kuwa suala geni katika nchi za Afrika, ambazo kutokana na matumizi ya teknolojia duni, wawekezaji wengi ni wageni kutoka mataifa ya Ulaya. Waziri huyo ameongeza kuwa suala la kufahamu gharama halisi za miradi zinazotumiwa na wawekezaji walio na teknolojia ya uchimbaji na miradi mikubwa inayohitajika inabaki kuwa nyenzo muhimu ya kukokotoa namna ya kupata faida.

ADVERTISEMENT

Aidha, Waziri Makamba amesema kuwa serikali imekuwa ikifanya harakati za kubadili Sheria na kuweka mipango na mikakati itakayohakikisha matumizi ya rasilimali ya gesi na mafuta yanakuwa na manufaa kwa nchi.

Naye Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watoa Huduma ya Mafuta na Gesi Tanzania (ATOGS), Abdulsamat Abdulrahim amesema kongamano hilo la pili linahusisha wadau wote walio na miradi ya mafuta na gesi hapa nchini na kuongeza kuwa, wadau hao kutoka maeneo mbalimbali duniani wamekusanyika kujua fursa zilizopo na zinazoendelea kupatikana ili kujua namna ya kukuza uwekezaji.

Tags: ATOGSgesiJanuary MakambamafutaTeknolojiauwekezaji
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post
Mkuu wa mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel.

Geita kugeuka kitovu cha biashara EAC

Discussion about this post

Habari Mpya

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 27, 2022

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 24, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 23, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 22, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 22, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 20, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

by Jensen Kato
June 27, 2022
0

Kilimo biashara kinaendelea kukua barani Afrika na muda umefika kwa watu hususani vijana kuchagamkia fursa mbalimbali zinazotokana na kilimo. Watu...

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 24, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In