• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Wednesday, November 29, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Wavuvi kukopeshwa

Patricia Richard by Patricia Richard
August 7, 2018
in BENKI
0
Share on FacebookShare on Twitter

Ofisa Maendeleo ya Biashara kutoka Benki ya Wananchi Tandahimba (Tacoba) mkoani Mtwara Said Nambecha amesema benki hiyo imejipanga kutoa mikopo kwa wavuvi ili kuwasaidia kuongeza mtaji na kuboresha shughuli zao ili nao pia waweze kuchangia katika pato la taifa. Nambecha amesema hayo katika viwanja vya maonyesho ya wakulima maarufu kama nanenane yanayoendelea katika mkoa wa Lindi.

ADVERTISEMENT

Ofisa huyo ameeleza kuwa, taasisi nyingi za fedha zimekuwa na wakati mgumu kuwapatia mikopo wavuvi kutokana na kwamba, wanapata wasiwasi na fedha hizo kurejeshwa kutokana na kundi hilo kukumbwa na misukosuko mbalimbali ikiwemo kuzama baharini na kupoteza maisha. Ameongeza kuwa changamoto kama hizo zinafanya benki nyingi kushindwa kuwaamini na kuwapatia mikopo wanayohitaji.

Nambecha amedai kuwa Tacoba inaangalia utaratibu wa kuwezesha kundi hilo kukopeshwa vifaa badala ya kupatiwa fedha taslimu kutokana na mchango wa sekta hiyo katika uchumi wa taifa.

Tags: fedhamikopoPato la taifaTacobaWavuvi
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post

Wanawake washauriwa kutumia mikopo kujiendeleza

Discussion about this post

Habari Mpya

Tanzania yaikaribisha kampuni za China kuwekeza Sekta ya Nishati

November 25, 2023

Afrika tujitegemee kifedha mabadiliko tabia ya nchi: Rais Samia

November 24, 2023
Wanafunzi wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Arusha (NCT).

Maandiko ya kisasa yatavutia utalii: Naibu Waziri Kitandula

November 23, 2023
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk.

Biashara baina ya Tanzania, UAE Dola bilioni 3.2

November 23, 2023

Kamati ya Bunge Nishati na Madini yajinoa matumizi gesi asilia

November 22, 2023

Uvunaji wa samaki wapaa kwa asilimia 114.3 mbinga

November 22, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Tanzania yaikaribisha kampuni za China kuwekeza Sekta ya Nishati

by Pesatu Reporter
November 25, 2023
0

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania,...

Afrika tujitegemee kifedha mabadiliko tabia ya nchi: Rais Samia

by Pesatu Reporter
November 24, 2023
0

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ni muda muafaka kwa Afrika kujitegemea katika fedha za kukabiliana na mabadiliko ya...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In