• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Sunday, September 24, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Uelewa wa takwimu kuchochea maendeleo

“Takwimu zikiwa vizuri zitaturahisishia kufanya tafiti zilizokuwa hazina masuala mengi, bado tuna changamoto katika hili”

Patricia Richard by Patricia Richard
November 17, 2018
in BIASHARA
0
Matajiri wanatumiaje pesa zao?
Share on FacebookShare on Twitter

Mtakwimu Mkuu  wa serikali ya Zanzibar, Mayasa Mahfoudh Mwinyi amesema ni muhimu kuongeza  maarifa na uelewa wa takwimu katika nyanja mbalimbali za kiuchumi na kijamii kwani kufanya hivyo kutasaidia ukusanyaji na upatikanaji wa takwimu ambazo zitatumika kupanga mipango ya maendeleo ya taifa. Mwinyi ameeleza kuwa, ili kuhakikisha takwimu sahihi zinapatikana kwa ufasaha, Ofisi hiyo imejipanga kuimarisha takwimu za kawaida wakishirikiana na taasisi husika.

Mtakwimu huyo ameeleza kuwa hivi sasa, bado takwimu za kawaida zinakosekana hivyo Ofisi hiyo imedhamiria kuzisaidia taasisi wataalamu na nyenzo nyingine ili kufanikiwa kuziweka takwimu vizuri na kutumika bila mashaka ya aina yoyote.

ADVERTISEMENT

“Takwimu zikiwa vizuri zitaturahisishia kufanya tafiti zilizokuwa hazina masuala mengi, bado tuna changamoto katika hili”. Amesema Mwinyi.

Kuhusu suala la mgongano katika utoaji takwimu kwa wadau mbalimbali, Mtakwimu huyo amesema ofisi hiyo inafanya kazi na taasisi husika ili kuondoa tofauti zinazotokea baina ya pande hizo mbili pindi takwimu zinapotolewa.

“Hata Rais wetu alizungumzia hili, kinachofanyika sasa ni kuhakikisha takwimu zote zinapitia ofisi yetu na kutolewa baada ya taasisi husika kuzihakiki kiuwiano kabla ya kutolewa”. Amesema Mwinyi.

Tags: maendeleotakwimuzanzibar
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post
Mkuu wa mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti.

Manyara yajipanga kuvuka malengo uanzishaji viwanda

Discussion about this post

Habari Mpya

Waziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki.

Wadau ufugaji nyuki watakiwa kuchangamkia fursa

September 14, 2023

Benki ya Exim yajikita uwazi shughuli za bima

September 14, 2023
Naibu Waziri wa Fedha Hamad Hassan Chande.

Tanzania yapiga hatua utakatishaji fedha

September 12, 2023
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Picha| Ikulu

Tutawaunganisha wakulima na soko: Rais Samia

September 11, 2023

Mbaazi yaleta neema kwa wakulima 2023

September 7, 2023

Bei za mafuta zapanda tena Tz

September 6, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Waziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki.

Wadau ufugaji nyuki watakiwa kuchangamkia fursa

by Pesatu Reporter
September 14, 2023
0

Tanzania ni nchi ya pili kwa uzalishaji wa asali barani Afrika na inashika nafasi ya 14 dunia. Ethiopia, ndio nchi...

Benki ya Exim yajikita uwazi shughuli za bima

by Pesatu Reporter
September 14, 2023
0

Benki ya Exim imezindua ushirikiano wa kimkakati na Mamlaka ya Udhibiti wa Bima Tanzania (TIRA) pamoja na kufanya mafunzo ya...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In