• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Tuesday, October 3, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Vijana Afrika waache kulalamika

Patricia Richard by Patricia Richard
March 23, 2018
in BIASHARA, UJASIRIAMALI
0
Share on FacebookShare on Twitter
Na Mwandishi wetu

Mwanaharakati wa masuala ya elimu, uchumi wa wakina mama na  afya bora kwa watoto  Africa Bi Graca Machel amehimiza vijana kutoka nchi za kiafrika kuacha malalamiko yasiyo na tija na badala yake kujiunga kwa pamoja na kutumia sauti yao kuonyesha serikali changamoto mbalilmbali wanazokumbana nazo kiuchumi na kijamii.

Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na vijana kutoka pande tofauti za Afrika kujadili changamoto zinazowakabili. Bi Machel ameongeza kuwa ni kweli serikali hazifanyi jitihada za kutosha kusaidia vijana kupata maendeleo lakini vijana wakilalamika tu bila kuchukua hatua stahiki hakuna kitakachobadilika.

ADVERTISEMENT

Nchi za kiafrika  zinashauriwa kuwekezakatika ubunifu walionao vijana wao. Kadhalika badala ya kutegemea serikali kutatua matatizo yao yote, vijana wanapaswa kutazama sekta nyingine kama kilimo ili kupambana na tatizo la ajira ambalo limekuwa la muda mrefu barani hapa.

Serikali nazo ziangalie upya mifumo ya elimu katika nchi zao kwani ni wakati wa mabadiliko. Afrika haiwezi kuwa na maendeleo kama hatuna mifumo itakayochochea mabadiliko kwa vijana wake. Kwa pamoja wananchi na serikali zao zishauriane matatizo mbalimbali yaliyopo kwa kufanya hivyo basi, watapata njia sahihi ya kuyatatua matatizo hayo.

Graca Machel ambae alikuwa mke wa kwanza wa Nelson Mandela ni mwanaharakati anayefahamika duniani kote kwa kazi zake za kutetea haki za wanawake na watoto. Amekuwa mstari wa mbele katika masuala ya uongozi bora,wanawake na shughuli za kimaendeleo, elimu na afya bora barani Afrika kwa muda mrefu sasa.

Tags: afrikaajiraGraca Machelmaendeleovijana
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post

UDBS bega kwa bega na wafanyabiashara nchini

Discussion about this post

Habari Mpya

Waziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki.

Wadau ufugaji nyuki watakiwa kuchangamkia fursa

September 14, 2023

Exim kulinda maslahi watumiaji huduma za bima

September 26, 2023
Naibu Waziri wa Fedha Hamad Hassan Chande.

Tanzania yapiga hatua utakatishaji fedha

September 12, 2023
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Picha| Ikulu

Tutawaunganisha wakulima na soko: Rais Samia

September 11, 2023

Mbaazi yaleta neema kwa wakulima 2023

September 7, 2023

Bei za mafuta zapanda tena Tz

September 6, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Waziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki.

Wadau ufugaji nyuki watakiwa kuchangamkia fursa

by Pesatu Reporter
September 14, 2023
0

Tanzania ni nchi ya pili kwa uzalishaji wa asali barani Afrika na inashika nafasi ya 14 dunia. Ethiopia, ndio nchi...

Exim kulinda maslahi watumiaji huduma za bima

by Pesatu Reporter
September 26, 2023
0

Benki ya Exim imezindua ushirikiano wa kimkakati na Mamlaka ya Udhibiti wa Bima Tanzania (TIRA) pamoja na kufanya mafunzo ya...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In