Kijaji: changamkieni fursa za biashara Afrika
Wafanyabiashara nchini wameshauriwa kuhakikisha wanatumia fursa ya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi nane za majaribio za kuuza bidhaa chini ya ...
Wafanyabiashara nchini wameshauriwa kuhakikisha wanatumia fursa ya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi nane za majaribio za kuuza bidhaa chini ya ...
Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano wa kilimo utakaohusisha viongozi, watu mashuhuri na wadau takribani 3,000 kutoka sehemu mbalimbali duniani. Kwa ...
Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zitakazonufaika na fedha za Mfuko wa Kukuza Uwekezaji barani Afrika kutoka Serikali ya ...
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo amesema ni muhimu kwa taasisi za elimu barani ...
Marekani na Kenya zimetajwa kuwa ndio nchi zinazoongoza kwa watalii wanaotembelea Tanzania. Utalii wa Tanzania umeanza kuongezeka ambapo takwimu zinaonyesha ...
Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) imetoa ofa ya kujenga masoko ya kisasa kwaajili ya machinga kwenye Wilaya za Mkoa ...
Jumanne Rajabu Mtambalike ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Sahara Ventures inayojishughulisha na kuunganisha wajasiriamali wa kati na makampuni ya ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Augosti 17, 2021 amezungumza na kujitambulisha rasmi katika mkutano wa 41 wa Wakuu ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Roweri Museven wameshuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Kenya , kwa ziara ya siku 2 kwa ...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru amesema Serikali inafanya majadiliano ya kimkakati na Benki ya Dunia...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza viongozi wa Mkoa wa Simiyu wasiwabane wajasiriamali, wawaelimishe na kuwapa miongozo ili wajiendeleze kiuchumi. Majaliwa...
Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...
Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...