• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Sunday, June 26, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Mapato sekta ya madini yaongezeka maradufu

Patricia Richard by Patricia Richard
October 24, 2018
in FEDHA
0
Waziri wa Madini, Angellah Kairuki.

Waziri wa Madini, Angellah Kairuki.

Share on FacebookShare on Twitter

Frank Mvungi- MAELEZO

Mapato yanayotokana na madini ya Tanzanite yameongezeka kutoka milioni 166 mwaka 2015 hadi zaidi ya shilingi bilioni 1.28 kwa kipindi cha Januari hadi Septemba 2018.

Akizungumza  katika kipindi cha “TUNATEKELEZA” Waziri wa Madini Mhe. Angellah Kairuki amesema kuwa kuongezeka kwa mapato hayo ni matokeo ya hatua zilizochukuliwa na Serikali ikiwemo ujenzi wa ukuta katika eneo la Mirerani na kuimarishwa kwa ulinzi katika viwanja vya ndege na maeneo yote ya mipakani kuzuia utoroshaji wa madini.

“Serikali imejipanga kuhakikisha kuwa mchango wa sekta ya madini unaongezeka kutoka asilimia 4.8 kwa sasa hadi kufikia asilimia 10 mwaka 2025;” Alisisitiza Mhe. Kairuki

ADVERTISEMENT

Akifafanua amesema kuwa Serikali imejipanga kuongeza mapato yanayotokana na madini kwa ujumla kutoka bilioni 301 mwaka 2017/2018 hadi bilioni 310 mwaka 2018/2019.

Aliongeza kuwa katika kuimarisha uwekezaji katika sekta hiyo Wizara ya Madini imeandaa makongamano katika nchi za China, Urusi, Israel, India, Thailand, na Falme za Kiarabu ili kuvutia wawekezaji katika sekta ya madini hali itakayosaidia kukuza na kuongeza mchango wake katika pato la taifa.

Kutokana na marekebisho ya Sheria ya madini yaliyofanyika na kutungwa kwa sheria mpya katika usimamizi wa rasilimali za taifa kumewezesha mrabaha kuongezeka kutoka asilimia 4 hadi 6 kwa sasa.

Akizungumzia wachimbaji wadogo Mhe. Kairuki amesema kuwa serikali imewatengea zaidi ya maeneo 46 ili kuwapa fursa ya kushiriki katika ujenzi wa uchumi kupitia katika sekta ya madini.

Pia alieleza kuwa Serikali inawajengea uwezo wachimbaji hao ili waweze kuwa na mbinu za kisasa za uchimbaji, uongezaji thamani na uzingatiaji wa sheria zilizopo kwa manufaa yao na taifa kwa ujumla.

Katika kuimarisha sekta hiyo, Mhe. Kairuki amebainisha kuwa tayari Wizara yake imeanza mchakato wa kuhakikisha kuwa madini ya Tanzanite yanapata hatimiliki ikiwa ni utambulisho rasmi kuwa madini hayo yanatoka Tanzania pekee hali itakayoongeza mapato kutokana na madini hayo.

Kipindi cha “TUNATEKELEZA” kinaratibiwa na Idara ya Habari MAELEZO na kurushwa na Shirika la Utangazaji Tanzania na awamu hii inawashirikisha Waheshimiwa Mawaziri wote.

Tags: Angellah KairukimapatoPato la taifatanzaniteuchumiuwekezaji
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post
Majaliwa ataka benki kushusha riba

Vijana washauriwa kuacha kuchagua kazi

Discussion about this post

Habari Mpya

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 24, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 23, 2022

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 23, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 22, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 22, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 20, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 24, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

by Pesatu Reporter
June 23, 2022
0

Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In