CCBRT kuchangisha fedha kwa ajili ya uzazi salama
Hospitali ya CCBRT kupitia kitengo chake kipya cha afya ya uzazi kwa kushirikiana na Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete wameandaa ...
Hospitali ya CCBRT kupitia kitengo chake kipya cha afya ya uzazi kwa kushirikiana na Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete wameandaa ...
Takribani wanawake 200 wamepata mafunzo ya biashara yaliyolenga kuwajengea uwezo. Mafunzo hayo yametolewa na benki ya NBC kwa wafanyabiashara katika ...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hussein Mwinyi amesema serikali yake itafanya kila linalowezekana katika kuwasaidia wanawake ...
Tanzania imezihakikishia nchi za Umoja wa Afrika kuendelea kusimamia usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake kiuchumi katika sekta mbalimbali ...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amekabidhi hundi ya Shilingi Bilioni 2 kwa vikundi 97 vya kujikwamua ...
Kiwanda kidogo cha mikate cha kikundi cha wakina mama wajasiriamali (Kiwawanyu) kimezinduliwa katika Wilaya ya Kisarawe, Mkoani Pwani. Balozi ...
Wanawake ni kundi lenye mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa lolote. Mara nyingi kundi limekuwa likiachwa nyuma, suala ambalo limepelekea ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kukutana na zaidi ya wanawake 10,000 wa mkoa wa Dodoma kesho June 08, ...
Katika kuinua wanawake katika sekta mbalimbali ikiwemo uwekezaji, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Ummy ...
Wanawake wamekuwa mstari wa mbele kujiajiri kwa kuanzisha biashara zao na kwa kiasi kikubwa hii imesaidia suala ya kutegemea chanzo ...
Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...
Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23...
Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...
Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...