Mambo matano mjasiriamali anapaswa kujua
Ujasiriamali unaendelea kuwa kimbilio la wengi katika harakati za kupambana na ajira. Wananchi wengi wamekuwa wakitambua fursa na kutumia nafasi ...
Ujasiriamali unaendelea kuwa kimbilio la wengi katika harakati za kupambana na ajira. Wananchi wengi wamekuwa wakitambua fursa na kutumia nafasi ...
Uhitaji wa mikopo ya fedha kwa ajili ya kuendesha biashara na shughuli mbalimbali umetajwa kuongezeka kwa kiasi kikubwa nchini. Rodrick ...
Benki ya CRDB imeingia makubaliano ya mkopo wa jumla ya Dola za Marekani milioni 60 (Sh138 bilioni) na Benki ya ...
Takribani wanawake 200 wamepata mafunzo ya biashara yaliyolenga kuwajengea uwezo. Mafunzo hayo yametolewa na benki ya NBC kwa wafanyabiashara katika ...
Jumanne Rajabu Mtambalike ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Sahara Ventures inayojishughulisha na kuunganisha wajasiriamali wa kati na makampuni ya ...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amekabidhi hundi ya Shilingi Bilioni 2 kwa vikundi 97 vya kujikwamua ...
Benki ya Maendeleo (TIB) imetakiwa kuja na mpango bora wa kuwasaidia wajasiriamali wadogo ili waweze kukuza mitaji yao. Waziri wa ...
Kampuni ya VHeines International wakishirikiana na kampuni ya KO wameandaa mkutano wao wa kwanza wa‘Dar Business Expo’ uliofanyika jijini Dar ...
Mara nyingi hatari ya kuanzisha biashara huwaogopesha watu hata kujaribu kuifanya biashara hiyo na badala yake kuendelea kubaki na wazo. ...
Biashara ya nguo ni miongoni mwa biashara ambazo mfanyabiashara anakuwa na uhakika wa kupata wateja kwa sababu mavazi ni moja ...
Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde amewataka vijana nchini Tanzania kuchangamkia fursa zilizopo kwenye sekta ya kilimo kupitia utekelezaji wa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki amesema kipindi cha mwezi July...
Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...
Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...