• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Sunday, January 29, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

TANESCO YAJIPANGA KUVUNA MABILIONI MKOA WA GEITA

Ni mradi wa kusafirisha umeme kutoka Bulyanhulu hadi Geita kilovolti 220

Jensen Kato by Jensen Kato
June 17, 2020
in NISHATI
0
Share on FacebookShare on Twitter

Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Dkt. Tito Mwinuka akiwa katika ziara ya ufuatiliaji na ukaguzi wa Mradi wa kusafirisha umeme kutoka Bulyanhulu hadi Geita kilovolti 220 amesema TANESCO inatarajia kukusanya takriban Shilingi bilioni 6 za ziada katika mauzo ya umeme Mkoani Geita.

Dkt. Mwinuka alisema kiasi hicho cha fedha ni kutoka katika Mgodi wa Geita Gold Mining (GGM) baada ya Mgodi huo kuunganishwa na kuongeza  GGM bado unatumia umeme ghali wa mafuta mazito ukilinganisha na umeme wa TANESCO utakaopatikana baada ya kukamilika.

”Kupitia mradi huu tunatarajia kukusanya takriban bilioni 6 na zaidi kwa mwezi kutoka kwa GGM pekee ukiachana na Migodi mingine na wateja wengine wa Mkoa wa Geita”, alisema Dkt. Mwinuka.

Aliongeza lengo la ziara hiyo ni kukagua na kuhamasisha kasi ya utekelezaji wa mradi wa Bulyanhulu- Geita ambao ni muhimu kwa TANESCO na Taifa kwa ujumla.

Aidha, matumizi ya Mgodi wa GGM pekee ni Megawati 30 ambazo ni sawa na matumizi ya Mkoa mzima wa Morogoro.

Aliongeza kukamilika kwa mradi wa Bulyanhulu  – Geita kutatuwezesha TANESCO kufikisha umeme mwingi Mkoani Geita na hivyo kuunganisha Wateja wakubwa wengi zaidi ikiwemo migodi mikubwa ya GGM na Stamigold- Biharamulo.

Dkt. Mwinuka aliongeza mradi huo unatarajiwa kukamilika katika kipindi kifupi kijacho.

Mradi wa  Bulyanhulu – Geita unatarajiwa kufungua fursa za uwekezaji katika Mikoa ya ya Kaskazini Magharibi mwa nchi ambayo ni Geita, Kigoma na Kagera.

ADVERTISEMENT

Aidha, miradi mingine ya vituo vya Kupokea na Kusafirisha Umeme huo kutoka Geita hadi Nyakanazi Kigoma na Nyakanazi kuelekea Rusumo Kagera tayari imeanza.

Katika ziara hiyo Dkt. Mwinuka ameambatana na Menejimenti ya TANESCO.

Jensen Kato

Jensen Kato

Next Post

Jinsi ya Kujiokoa ajali ya moto kwenye Gari

Discussion about this post

Habari Mpya

Poland kuisaidia Tanzania kuweka mifumo ya kodi kidigitali

January 26, 2023

Kamati ya bunge yahimiza uwekezaji maeneo ya hifadhi

January 21, 2023

Serikali kuanzisha mnada wa chai

January 20, 2023

Tumieni bandari ya Dar es Salaam: Makalla

January 19, 2023
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Jukwaa la Uchumi Duniani.

Sekta ya kilimo kukua kwa 10% 2030: Rais Samia

January 19, 2023

Ndege tano kuwasili mwaka huu

January 17, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Poland kuisaidia Tanzania kuweka mifumo ya kodi kidigitali

by Pesatu Reporter
January 26, 2023
0

Poland imeahidi kuisadia Tanzania kuimarisha mifumo ya kodi kwa njia ya kidigitali ili kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa mapato ya...

Kamati ya bunge yahimiza uwekezaji maeneo ya hifadhi

by Pesatu Reporter
January 21, 2023
0

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeishauri Wizara ya Maliasili na Utalii iendelee kuzifanyia maboresho kanuni...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In