• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Sunday, June 26, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Jua zaidi kuhusu kutotoa vifaranga

Asilimia 70 ya uzalishaji wa vifaranga hufanywa kwa njia ya asili.

Abdul Kassim by Abdul Kassim
July 29, 2020
in BIASHARA, BIASHARA NDOGO NDOGO, UWEKEZAJI
0
Share on FacebookShare on Twitter

Kutotoa vifaranga ni uwekezaji mzuri na mafanikio katika uwekezaji huu hurudi kwa haraka. Biashara hii haihitaji ujuzi mkubwa sana, na wauzaji wa mashine za kutotolea vifaranga hutoa maelekezo ambayo humsaidia mfugaji kufanya biashara hii na kupata mafanikio.

Kwa Tanzania, asilimia 70 ya uzalishaji wa vifaranga hufanywa kwa njia ya asili kwa kutumia kuku wa kienyeji.

Na ndio maana watanzania wengi wanapendelea zaidi kuku wa kienyeji, jambo ambalo linasababisha mahitaji ya kuku hao kuwa makubwa hivyo kusababisha bei ya kuku wa kienyeji kuwa kubwa sokoni.

Watanzania wengi sasa wanaacha kula nyama nyekundu na kula zaidi nyama nyeupe kwasababu za kiafya. Hii inatokana na ushauri wanaopata kwa madaktari kuhusu madhara ya nyama nyekundu hivyo wengi wao sasa wanatumia zaidi kuku na samaki.

ADVERTISEMENT

Kutokana na sababu tatu, ambazo ni mahitaji makubwa ya kuku wa kienyeji, kuacha kuingizwa kuku wa kisasa nchini na umuhimu wa nyama nyeupe kwa wananchi kuna kila sababu ya kuanzisha biashara hii ya utotoaji na mfanyabiashara hatojutia.

Kutokana na mashamba mengi ya kutotoa na kufuga kuku kuwa katika maeneo ya makazi na wafanyabiashara wengi kukosa  nyaraka kutoka kwa madaktari wa mifugo, na wao wenyewe kutokuwa wamejisajili katika sehemu husika wafanyabiashara wengi hupata hasara pale kuku wakifa kutokana na sababu tofauti.

Hivyo ili kuondoa changamoto hii, ingefaa wafanyabiashara wanaotaka kufanya biashara hii kuhamasishwa kujisajili katika maeneo husika, na kuwepo kwa mustakabali unaoeleza kanuni na kuwaongoza watu wanaotaka kufanya biashara hii pia kuwepo taasisi itakayokuwa inafuatilia masuala yote ya kuku kuanzia mayai, nyama yake na mbolea pia.

Abdul Kassim

Abdul Kassim

Next Post
Rais Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera wakifungua pazia la jiwe la msingi la ujenzi wa kituo cha kisasa cha mabasi kilichopo Mbezi Luis, Dar es salaam leo Oktoba 8, 2020.

Kituo kikuu cha mabasi Mbezi Luis kutoa ajira 10,000

Discussion about this post

Habari Mpya

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 24, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 23, 2022

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 23, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 22, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 22, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 20, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 24, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

by Pesatu Reporter
June 23, 2022
0

Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In