• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Wednesday, June 29, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Wakulima washauriwa kujiunga NHIF

Ushirika Afya ni mpango ulioanzishwa na serikali kwa lengo la kutoa huduma ya bima ya afya kwa wakulima.

Patricia Richard by Patricia Richard
December 17, 2018
in BIMA
0
Meneja wa NHIF mkoa wa Arusha,Isaya Shekifu akizungumza  wakati wa mkutano na viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika wa mazao na mfuko huo. Kushoto ni Afisa Matekelezo wa NHIF,Miraji Kisile na Mrajisi wa Ushirika mkoa wa Arusha,Emmanuel Sanka.

Meneja wa NHIF mkoa wa Arusha,Isaya Shekifu akizungumza wakati wa mkutano na viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika wa mazao na mfuko huo. Kushoto ni Afisa Matekelezo wa NHIF,Miraji Kisile na Mrajisi wa Ushirika mkoa wa Arusha,Emmanuel Sanka.

Share on FacebookShare on Twitter

Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) jijini Arusha Isaya Shekifu amesema mfuko huo unatoa wito kwa wanachama wa vyama vya msingi vya ushirika wa mazao kujiunga na bima ya afya ili kupata matibabu bora ikiwa ni mpango wa serikali ya awamu ya tano kuwa, ifikapo 2020 idadi kubwa ya wanachama iwe tayari imejiunga na mfuko huo.

Meneja huyo amesema Ushirika Afya ni mpango ulioanzishwa na serikali kwa lengo la kutoa huduma ya bima ya afya kwa wakulima kupitia vyama vya ushirika vya msingi kwa kuanzia na mazao matano. Mazao hayo matano ya kimkakati ni pamoja na korosho, pamba, chai, kahawa na tumbaku.

ADVERTISEMENT

Shekifu amesema mkulima anapaswa kulipa Sh. 76,800 ukiwa ni mchango wake kwa ajili ya kupata Ushirika Afya ambapo ataweza kupata huduma ya matibabu kwa mwaka mzima na pia ataruhusiwa kuwakatia mzazi, mwenza, mkwe na watoto bima hiyo.

Aidha, Mrajisi wa Ushirika mkoani humo, Emmanuel Sanka amesema mpango huo utasaidia wanachama kunufaika na matibabu yanayotolewa na mfuko huo, hatua ambayo amedai itaongeza tija katika shughuli zao za kilimo. Mbali na hayo, Sanka amesema gharama za matibabu pasipo kutumia bima ya afya zipo juu na kuwataka viongozi wa ushirika kuwahamasisha wanachama wao kujiunga kwa wingi ili kunufaika na mpango wa serikali wa mazao matano ya kimkakati.

Tags: afyaArushaNHIFwakulima
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post

Fastjet njiapanda,yalambwa notisi na TCAA

Discussion about this post

Habari Mpya

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 28, 2022

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 28, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 28, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 28, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 28, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 28, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

by Jensen Kato
June 28, 2022
0

Kilimo biashara kinaendelea kukua barani Afrika na muda umefika kwa watu hususani vijana kuchagamkia fursa mbalimbali zinazotokana na kilimo. Watu...

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 28, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In