CRDB yatoa 60/- bilioni kwa wakulima
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Nyanda za Juu Kusini, Benson Mwakyusa amesema benki hiyo imeshatoa mikopo ya zaidi ya Sh. ...
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Nyanda za Juu Kusini, Benson Mwakyusa amesema benki hiyo imeshatoa mikopo ya zaidi ya Sh. ...
Baada ya Mbunge wa Mbinga, Sixtus Mapunda kumuomba Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli kuwachukulia hatua watu ambao kwa ...
Ofisa wa Biashara kutoka Benki ya Access Tanzania Limited, Prosper William, amesema benki hiyo imetoa mikopo kwa wakulima wadogo wasiopungua ...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wananchi wa mikoa ya Lindi na Mtwara kulima zao la muhugo ...
Ili kuondoa sintofahamu katika jamii, Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga ameagiza wataalamu wa timu ya Oparesheni Korosho kubandika majina ya ...
Naibu Waziri wa Kilimo, Innocent Bashungwa amesema Tanzania na Brazil zimekubaliana kuinua kilimo cha pamba ili kuongeza tija kwa wakulima ...
Benki ya NMB imetoa bilioni 500 kwa wafugaji na wakulima wa viwanda vidogo na vikubwa nchini ili kuleta maendeleo zaidi ...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Bilinith Mahenge amewataka wakulima kuacha kuishi kwa mazoea kwa kulima mazao ambayo hayawaletei faida ...
Kampuni ya Kilimo ya Organo iliyopo jijini Dar es Salaam imetoa wito kwa wakulima wadogo wa mananasi na migomba kuunda ...
Sheria zinazotumika hivi sasa ni zile za Bodi za mazao mbalimbali.
Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...
Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23...
Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...
Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...