Kimbilieni kuwezesha waanzisha miradi: Waziri wa Fedha
Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amezitaka taasisi za serikali kuwezesha watu wanaoanzisha shughuli za uzalishaji nchini. Mwigulu amesema ...
Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amezitaka taasisi za serikali kuwezesha watu wanaoanzisha shughuli za uzalishaji nchini. Mwigulu amesema ...
Mpango utakaogharimu Bilioni 145 umezinduliwa kutokomeza magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza nchini. Wizara ya Afya kwa kushirikiana na ...
Imeelezwa kuwa asilimia 48 ya wanafunzi wa kike wanakosa masomo kutokana na kuwa katika mzunguko wa hedhi hali ambayo huathiri ...
Kipindi cha utoto wetu ndio mda wa kujifunza. Hapa ndipo akili inapevuka, tunajifunza lugha, na hata namna bora ya kutatua ...
Mke wa Rais wa Kenya Margaret Kenyatta amewataka wawekezaji kuongeza ufadhili katika mifumo ya afya ya uzazi, vijana na watoto ...
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeanza kufanya usambazaji wa chanjo za UVIKO-19 katika ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Ummy Mwalimu, ameongeza siku tano kwa waombaji ...
Watu wengi hufikiri kuwa mafanikio hutokana na utafutaji wa fedha peke yake, jambo ambalo si kweli. Kuna mambo mengi zaidi ...
Ikiwa unafikiria kustaafu mapema unatakiwa kujua kuwa mambo mengi yatabadilika hivyo ni muhimu kujiandaa na kuhakikisha mambo yako yanakwenda sawa, ...
Kila mtu ambaye bado hajafanikiwa katika maisha ana ndoto ya kupata fedha nyingi na kuishi maisha mazuri, lakini ili kuweza ...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru amesema Serikali inafanya majadiliano ya kimkakati na Benki ya Dunia...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza viongozi wa Mkoa wa Simiyu wasiwabane wajasiriamali, wawaelimishe na kuwapa miongozo ili wajiendeleze kiuchumi. Majaliwa...
Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...
Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...