• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Saturday, June 25, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Wajasiriamali washauriwa kuthibitisha ubora wa bidhaa zao

Mzalishaji anatakiwa kuthibitisha ubora kabla ya kuingiza bidhaa sokoni, ili kuwa na uhakika kuwa bidhaa hizo hazitakuwa na madhara kwa mtumiaji.

Patricia Richard by Patricia Richard
December 14, 2018
in UJASIRIAMALI
0
Share on FacebookShare on Twitter

Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya kusini, Haji Mussa ametoa wito kwa wajasiriamali kutoka wilayani Nachingwea mkoani Lindi kujenga mazoea ya kudhibitisha bidhaa zao ili kuwa na uhakika wa soko. Haji ametoa ushauri huo wakati wa mafunzo ya wajasiriamali, ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya kutoa elimu kwa umma, kampeni ambayo inahusisha wazalishaji wa bidhaa mbalimbali kutoka wilaya za Kanda ya kusini.

Mussa ameongeza kuwa asilimia kubwa ya bidhaa zinazozalishwa na wajasiriamali zipo katika orodha ya viwango ya lazima hivyo mzalishaji anatakiwa kuthibitisha ubora kabla ya kuingiza bidhaa sokoni, ili kuwa na uhakika kuwa bidhaa hizo hazitakuwa na madhara kwa mtumiaji. Mkuu huyo kutoka TBS ameeleza kuwa serikali inatambua umuhimu mkubwa wa wajasiriamali katika kuendeleza sekta ya viwanda, na kupitia shirika hilo, Sh. 100 milioni zimekuwa zikitengwa kila mwaka maalum kwa ajili ya kuwasaidia wajasiriamali.

ADVERTISEMENT

“Shirika linatoa mafunzo kwa wajasiriamali bure, linapima ubora wa bidhaa bure na kutoa leseni ya kutumia alama ya ubora bure kwa mjasiriamali aliyekidhi vigezo, utaratibu huu ni kwa miaka mitatu baada ya hapo mjasiriamali huanza kuchangia kidogo kidogo, hivyo fursa hii mnapaswa kuitumia kikamilifu”. Amesema Mussa.

Kwa upande wake, Ofisa Biashara Msaidizi wa wilaya ya Nachingwea Stella Martin amesema ili kutatua changamoto ya eneo la uzalishaji, wilaya hiyo tayari imetenga eneo la ekari 49.7 kwa ajili ya viwanda na wajasiriamali.

Tags: elimusokoTBSuzalishajiviwanda
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe (wa pili kushoto) na Katibu Mkuu wa Sekta ya Mawasiliano, Mhandisi Dkt. Maria Sasabo (wa tatu kushoto) wakishuhudia utiaji saini wa mkataba wa kupeleka huduma za mawasiliano vijijini baina ya Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote, Mhandisi Peter Ulanga (wa kwanza kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Waziri Kindamba (wanne kushoto)

Serikali yawekeza mabilioni kupeleka mawasiliano vijijini

Discussion about this post

Habari Mpya

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 24, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 23, 2022

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 23, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 22, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 22, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 20, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 24, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

by Pesatu Reporter
June 23, 2022
0

Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In